Hamisa Mobetto ana roho ngumu sana

Mondela

JF-Expert Member
Aug 20, 2021
2,570
3,763
Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne

20211129_203349.jpg
 
Umbile la mtu lisimnyime starehe jamaniiii
Mbona huyu Rick hawafikii wa kwetu humu mitaani!? Au shida ni mobetto?..... msimnyanyapae shemela buana😂😂😂😂😂😂

Ulishamuona pitamsechu au bongekatagira wakiwa vifua wazi!?
 
Umbile la mtu lisimnyime starehe jamaniiii
Mbona huyu Rick hawafikii wa kwetu humu mitaani!? Au shida ni mobetto?..... msimnyanyapae shemela buana

Ulishamuona pitamsechu au bongekatagira wakiwa vifua wazi!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom