Hamisa Mobeto amtaka Kajala kumwomba msamaha na kufuta ujumbe wa Instagram ndani ya saa 12

Utetezi mkubwa wa hamisa ni kuwa,yule mwanamke aitwae paula,,siku anampeleka kwa yule bitoz,,hakuvaa wala hakusuka vile,,
Sasa paula akiegemea upande wa mama na kukiri alirubuniwa na mobeto,,inakuaje?..
Maana hamisa hana ushahidi wa nguvu,kuzidi ule anaoweza kutoa paula..
 
Hii sakata la hawa lilikuwa linahitaji hekima ya kifamilia zaidi. Ila shida sasa Njomba Nchumali anataka litumia kama kiki ndio wanapo anza vutana
 
Atakayechapika ni Mmakonde , si amejifanya mjuaji , mara paap Kajala anasema mi simu yangu aliichukua konde boy nikiwa bafuni narudi nakuta amepost na ameing'ang'ania mpak sa hv 😀😀😀 Konde boy mavi yanagonga chupi yanarudi..... Tunahitaj one billion cash , huwez chafua brand ya mtu kidenzi namna hiyo🤪🤪🏃
Ningekuwa wakili wa kajala,namshauri tu paulo akiri kuwa alinyweshwa bia na kurubuniwa na hamisa na huyo mwenzake,,case closed na kibao kinamgeukia hamisa na yeye ndo atalipa mkwanja mrefu ili kuyamaliza nje ya mahakama..
 
Sawa msando
 
Sawa mwanasheria wa bongo movie ndo uwezo wenu wa kufikiri ulipo ishia
Bongo movie gani tena...?!!!!.
profileIcon_ql499x42m8751.gif
 
Ningekuwa wakili wa kajala,namshauri tu paulo akiri kuwa alinyweshwa bia na kurubuniwa na hamisa na huyo mwenzake,,case closed na kibao kinamgeukia hamisa na yeye ndo atalipa mkwanja mrefu ili kuyamaliza nje ya mahakama..
Kwahiyo Paula akishasema tu ama kukili kuwa alinyweshwa bia na Hamisa kesi inakuwa imeshaisha na Hamisa atatakiwa kulipa mkwanja mrefu!?
Chief, umesomea sheria chuo gani?
 
Huyo jamaa yupo sahihi, Kesi imejengwa around paulo (kama anavyomuita) yani yeye paulo akipangwa amtaje Hamisa, na rayvanny, kama watu waliomrubuni na kumnywesha pombe, basi kesi itageuka Hamisa ataonekana anamakosa
 
Kwahiyo Paula na Kajala ndio watakuwa wasemaji wa mwisho, hakuna haja ya ushahidi kuthibisha watakachokisema Paula na Kajala?
 
Mkuu kwsmfano ukiwa na rafiki yako porini alafu akatokea mtu akamchoma na kisu akirudi town kutokana na wenge akasema wewe ndio umemchoma unadhani hoja yako itachukuliwa kwa uzito kama hoja ya mtendewa wa tukio? Hiyo ndio situation iliyopo kauli za paula zitapewa uzito zaidi na ndio zita dictate uchunguzi mzima wa hii kesi
 
"Kauli za Paula zitapewa uzito zaidi na ndio zitadictate UCHUNGUZI mzima wa hii kesi"

Kumbe uchunguzi utafanyika!?
Vipi uchunguzi ukifanyika na ikaonekana Paula amedanganya?
 
Hio nguo ni magome ya mti kwamba mtu hawezi badili nguo akienda sehemu ya starehe. Pengine alijikojolea je?

Huo utetezi wa Hamisa kwamba sijui nguo imefanyaje ni wa kitoto sana.
Ngoja masaa yaliyotolewa yaishe.. ianze episoda 2.. atae kaidia atapigwa tu.. hii ngoma ni strategy tu, atae kosea anaukalia wa moto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom