Hamis Talatale: Sijamtoa kafara mke wangu ili nipate ubunge, nilimpenda sana haina mfano!

Mambo ya kafara tena?! Yanaongewa na Mbunge wa JMT?! Katika yote kaona aongee hayo?! Kweli kazi ipo..
 
Swali kwako, ww unaweza kuua mtu kwa sababu ya cheo?
Wee ndo unasema au kuona kutoa kafara make kisa ubunge ni ujinga au ulofa, sasa viongozi wengi tyuuh wa serikali watu wao wanaowapenda kisa madaraka.
Pesa inabaki kuwa pesa tyuuh, ndo maan kila mtu anasaka pesa ili afurahie maisha murua, km kustarehe wapo wengine watakakuja kustarehe na kutumbua hizo pesa.
Dunia uwanja wa vita.
 
Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale akijibu swali la mtangazaji Salama Jabir wa Eatv kama kuna ukweli wowote wa habari zilizoeneaga kwamba amemtoa kafara mkewe ili apate ubunge Taletale amesema huo ni uzushi mtupu na alishaupuuza.

Babu Tale amesema hizo zilikuwa ni propaganda tu za maadui zake wa kisiasa lakini wamefeli kwani yeye ni mbunge aliyepita bila kupingwa na ameshaapishwa na sasa anapigiwa saluti na askari wenye nyota mabegani.

Mh Taletale amesema kwa sasa amefocus kuliletea maendeleo jimbo lake ambalo lina matatizo makubwa ya miundombinu ya barabara na ameshamwomba Rais Magufuli amsaidie.

Chanzo: Eatv

Maendeleo hayana vyama!
Tale katimiza vigezo vya ccm,kutoa kafara ili kupata nafasi
 
Back
Top Bottom