Hamis Tabasamu: Kila siku Milioni 168 zinaliwa kwa muda wa miaka 6, Kampuni ya GFI yahusika

mwanatanu

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
851
127
Nimemsikia Mbunge wa jimbo la Sengerema Tabasam Hamis Mwagao, akilia Kwa nini kampuni ya Global Fluids International (GFI) inayohusika na vinasaba vya mafuta imekuwa ikilipwa mabilioni ya pesa kwa muda wa miaka 6.

Mimi kinachonishangaza anamsifu waziri Kalemani na wakati wote huo wa miaka 6 GFI akizipiga haya mabillioni ya pesa yeye Kalemani ndiye waziri wa nishati.

Hebu msikilizeni

Nimemsikiliza jana anasema anatishiwa maisha ,ila awamu ya 5 wapigaji walikuwa wengi sana yaani 168m Tsh per day kwa miaka 6 tunapigwa? Ushauri wake ni mzuri wa TBS kununua DNA direct kwa 0.8 instead tunayopigwa ambayo ni 7 ,yaani tunapigwa bei karibu mara 9.
 
Bado tu mnapambana na marehem na dalili zote zinaonesha nyie mkishindwa
 
Tabasamu ni mwendawazimu.

Tatizo la nchi yetu, watu wanapenda sana kupepeta midomo na kama huna akili bado utabaki kuwa kama taahira.

Kwanza GFI haina miaka 6, ipo nchini zaidi ya miaka 6.

Pili, hakuna pesa ya serikali iliyopigwa. Pesa waliyokuwa wanalipwa GFI ilitokana na tozo ya Tsh 17 kwa kila litre ya mafuta iliyokuwa inalipwa na wenye matank ya mafuta.

Nchi hii taarifa sahihi na za uhakika zimekuwa bidhaa adimu sana. Kila kitu kinaguswa juu juu tu.
 
Wewe utakuwa mnufaika hapo
 
Wewe utakuwa mnufaika hapo
Hili ndio tatizo la vijitu viswahili. Umesha program akili yako ili usikie unayotaka kusikia tu hata kama ni uongo.

GFI ni kampuni ya Israel, na iko nchi kibao. Hata sasa hivi bado wanafanya kazi Zanzibar. Mimi nahusikaje ?

Kwanza ukitaka kujua huu ni upumbavu, GFI walikuwa wanapewa tender na EWURA lakini cha kushangaza tangu huu upuuzi uanze kutajwa, EWURA hawazungumzwi kabisa na wao wako kimya utafikiri hawapo.

Nchi hii bana
 
Mkuu utalipane watu 168M kwa siku kama siyo utapeli asee?
 
Tabasamu ni mwendawazimu.

Tatizo la nchi yetu, watu wanapenda sana kupepeta midomo na kama huna akili bado utabaki kuwa kama taahira.

Kwanza GFI haina miaka 6, ipo nchini zaidi ya miaka 6.

Pili, hakuna pesa ya serikali iliyopigwa. Pesa waliyokuwa wanalipwa GFI ilitokana na tozo ya Tsh 17 kwa kila litre ya mafuta iliyokuwa inalipwa na wenye matank ya mafuta.

Nchi hii taarifa sahihi na za uhakika zimekuwa bidhaa adimu sana. Kila kitu kinaguswa juu juu tu.
Watu wanatafuta LEGACY, kisha wanatafuta kuonekana ni wabunge machachari, hawajui cha kufanya maana, lengo lao bungeni lilikuwa liwe kusifu na kuabudu. Sasa kwa akili zao ndogo hakukuwa na plan B.
Mwendazake kawaanika vibaya sana CCM.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Ipi eleza hapa kwa undani, acheni kutetea matapeli
Anyway, mimi siko hapa kumtetea yoyote wala kuonesha usahihi wa malipo waliyokuwa wanapeana.

In short, mafuta yote ya petrol unayaona yanatumika nchi hii ilikuwa ni lazima yawekewe marking na hao GFI.

Ndio maana walikuwa na ofisi hapa Dar, Mtwara, Iringa, Mwanza, segera, na Tanga.

Kwa kampuni ya kimataifa, teknolojia, kulipa watumishi, magari, kodi, tenders etc wao wenyewe wanajua walipaswa kulipwa vipi na tender yao ikakubaliwa na EWURA.

Zingine ni stori za kijinga tu.

Mbona hujiulizi inakuwaje EWURA wanawatoza wenye depots Tsh 17 kwa kila lita moja ya petrol.
 
Nchi ngumu sana hii
siyo ngumu mkuu nchi kinachotakiwa ni kuwa na katiba mpya itakayosema wezi wakibainika wameiba wauawe hadharani au wachomwe moto hadharani.vinginevyo tutaendelea kulalama humu ndani wakati majizi yanazidi kuzaliwa kila kukicha.
 
Tabasamu ni mwendawazimu.

Tatizo la nchi yetu, watu wanapenda sana kupepeta midomo na kama huna akili bado utabaki kuwa kama taahira.

Kwanza GFI haina miaka 6, ipo nchini zaidi ya miaka 6.

Pili, hakuna pesa ya serikali iliyopigwa. Pesa waliyokuwa wanalipwa GFI ilitokana na tozo ya Tsh 17 kwa kila litre ya mafuta iliyokuwa inalipwa na wenye matank ya mafuta.

Nchi hii taarifa sahihi na za uhakika zimekuwa bidhaa adimu sana. Kila kitu kinaguswa juu juu tu.
Hio at the end si I naende kuwa mzigo kwa end user? Inaonekana umesomea Sayansi kimu sasa una i apply humu
 
Back
Top Bottom