Hamis Kiiza Hujafanya "Uanamichezo/Uungwana" Hapa

KIIZA AKIMPA NENO DILUNGA KUHUSIANA NA JEZI NAMBA 25

Tukio hilo lilitokea mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo ulioisha kwa Simba kushinda mabao 3-1 ambapo kiungo huyo alibadilishana jezi ya juu na beki huyo mwenye umbo dogo na kasi awapo uwanjani.
 
DILUNGA ANAONEKANA KUELEWA SOMO HUKU KIIZA AKIWA SIRIAZ KINOMA KAMA AFANDE
 
SOMO LIMEELEWEKA, ANAIVUA JEZI HIYO YA ZAMANI YA OKWI

SALEHJEMBE ililishuhudia tukio hilo mwanzo mwisho lilimuona kiungo huyo baada ya kubadilishana akaitwa na mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza na kunong'onezana kitu, walipomaliza Dilunga akaitoa jezi hiyo iliyokuwa ikivaliwa na Emmanuel Okwi kipindi yupo Simba ambaye kwa sasa yupo Yanga kisha akaichukua ya Yanga na kuivaa.

Alipotafutwa Dilunga ili kujua sababu za kuitoa jezi hiyo huku wachezaji wenzake wa Yanga wakiwa na uzi wa watani zao hao alisema "Jezi ile niliamua tu kuitoa na kuvaa ya mazoezi lakini niliondoka nayo na nipo nayo hapa nyumbani. Baba Ubaya ni rafiki yangu na nimewahi kucheza naye kipindi cha nyuma.
 
kama ni kweli sijapenda kabisa ulichofanya Diego ukizingatia wewe ni Prooooo
 
kama ni kweli sijapenda kabisa ulichofanya Diego ukizingatia wewe ni Prooooo

Mkuu na wewe umeamini urongo wa huyo mwandishi?

Muhusika mbona kakana hilo jambo...

“Jezi ile niliamua tu kuitoa na
kuvaa ya mazoezi lakini niliondoka nayo na
nipo nayo hapa nyumbani...
 
duh!! kama hivyo sio kitendo cha kisoka, mechi yenyewe ilikuwa ya 'mtani jembe' harafu analeta habari hizo kwa tafsiri ya kawaida kiiza amechemka na hata dilunga amechemka kuvua jezi ya rafiki yake, huyo proo kiiza anakuwa mshamba kiasi hicho!!!!!! shame on them!!!!
 
ukiangalia mtiririko wa picha unaamini kuna ukweli hapo, Kiiza ameonesha ushamba sana, nakuunga mkono
duh!! kama hivyo sio kitendo cha kisoka, mechi yenyewe ilikuwa ya 'mtani jembe' harafu analeta habari hizo kwa tafsiri ya kawaida kiiza amechemka na hata dilunga amechemka kuvua jezi ya rafiki yake, huyo proo kiiza anakuwa mshamba kiasi hicho!!!!!! shame on them!!!!
 
Mkuu na wewe umeamini urongo wa huyo mwandishi?

Muhusika mbona kakana hilo jambo...

"Jezi ile niliamua tu kuitoa na
kuvaa ya mazoezi lakini niliondoka nayo na
nipo nayo hapa nyumban
i...
hii nukuu umeitoa kwa huyo huyo mwandishi mkuu
 
hii nukuu umeitoa kwa huyo huyo mwandishi mkuu

Mkuu kuweka nukuu haina uhusiano na upeo wa mwandishi maana ndicho kitu kilichotamkwa...

Lakini namna mwandishi anavyopambanua tukio lililotokea hapo ndio kuna kasoro.

Sasa kabla ya kufikia majumuisho ya habari, mwandishi hupaswa kujiridhisha na njia mojawapo ni kufanya mahojiano.

Ukisoma kwa makini unagundua kuwa Dilunga alikanusha nadharia ya mwandishi, lakini huyu mpasha habari nadhani kwa kutaka tu kukuza uSimba na uYanga, ndio katuwekea hiyo heading ambayo ndani ya habari yake kuna kanusho.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom