Hamis Kigwangalla ndani ya Kyela kwa Mwakyembe... CCM kunani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamis Kigwangalla ndani ya Kyela kwa Mwakyembe... CCM kunani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Sep 23, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,410
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Kwa mujibu wa tweets za mbunge wa nzega, inaonekana ameelekea kyela kwenda kushiriki maombi na mheshimiwa waziri mwakyembe.

  Je, hili ni kundi la ngapi la CCM?
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  Wanafiki tu hao hawana lolote....
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,715
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  CCM ni CCM tu, wataangamia wote na makundi yao hata kama yako mia, mjanja aondoke huko ajiunge na M4C.
   
 4. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,677
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hatuwataki sisi wanakyela wqnqfki wqkubwa hao
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  yupo kundi la kufa...:crying:
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,410
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  anasema mwakyembe ndio kamualika huko kyela.kweli kazi ipo mwaka huu.
   
 7. F

  FUSO JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,123
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Things Fall Apart -- Chinua AChebe.
   
 8. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,216
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi huyu nae ni mwanasiasa?
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ccm kyela,ccm pwani,ccm lowassa,ccm sumaye(kaskazini),ccm nape...
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 23,757
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  si alisema angekuja elezea mamabo fulani..?sasa NEC imemkuta bado au ndio alikuwa aki beep kujiongezea uzitu ktk hili.Magamba hata game zinezoeweza chezwa kwa common sense tuu ni shida.ALitaka create demand sasa katengeneza exit door yake isiyo na heri.Sasa bado anajipa hope kupigia debe wanaharakati za urais ili waje mpa viti vya waliokosa nafasi katika jamii dume.
   
 11. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,953
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  tutasikia mengi mpaka kufikia kifo chao 2015
   
 12. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 565
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tutamkumbuka JK kwa kutusaidia kuiua ccm ingawa wengi wanamchukia lakini mi nampenda kwa hilo tu its like kaamua nchi awakabidhi upinzani atakapoondoka.
   
 13. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,068
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ila bado sijajua role ya Dr. Kigwangalla itakuwa ipi labda kama ni mwenyekiti wa UVCCM tungesema atakuwa kama Malema kumpiga vita asiyemtaka kwa jukwaa la UVCCM
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 23,757
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  Taajifanya narudi katk profession yake.huku akiwa kapractice kidogo sana.
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Kigwangalah ni MCHUMIA TUMBO.
   
 16. r

  raymg JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kushiriki maombi?
   
 17. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,911
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  mkuu crashwise nimechangia CHADEMA sasa hivi!@ nimetuma neno chadema kwenda 15710.zimefika??
   
 18. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 16,169
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  ni baada ya kupigwa chini nec.!
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Wanaishi kwa matumaini waacheni wapeane faraja
   
 20. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,068
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wanagombania gari wakati sisi ndo wenye funguo za hilo gari
   
Loading...