HAMIS Kigwangalla: Jana Rais Kikwete aliniachia kiti, nikakaa na marais wengine. Can u belive that?

mchengeli

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
341
88
Hamisi Kigwangalla

Nipo hapa jijini Yokohama, Japan. Nipo kwenye msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Kikwete kwenye mkutano mkubwa na maarufu duniani kuhusu Afrika unaojulikana kama TICAD V (Tokyo International Conference on African development). Kwa dakika chache jana Mhe. Rais Jakaya Kikwete aliniachia kiti chake, nikaa kwenye round table na marais wengine zaidi ya 50 wa nchi za Afrika! Can you imagine that? Kulia kwangu alikuwa Mhe. Michael Satta (Rais wa Zambia - a very charming fella!) na kushoto kwangu alikaa Mhe. Yoweri Museveni (Rais wa Uganda).

Leo tena nimepata fursa ya kuingia kwenye kikao kimoja na Mhe. Rais Jakaya Kikwete na humo tulikuwa kwenye bilateral meeting na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Ban-Ki Moon. Pia nimepata fursa ya kujadili mambo kwenye vikao na Marais Jacob Zuma (South Africa), Ali Bongo Ondimba (Gabone); Rais wa World Bank, Dr. Jim Yong Kim; Rais wa Benki ya Afrika, Dr. Donald Kaberuka; Rais wa JICA, Dr. Akihiko Tanaka etc. Ziara hii imenifundisha mambo mengi ambayo sintoyasahau katika maisha yangu.

Nimepata pia fursa ya kumuelewa vizuri zaidi Rais wetu na namna anavyoielewa dunia, kukubalika kwake kimataifa, nafasi yake kati ya viongozi mashuhuri duniani na nafasi yetu kama Taifa katika dunia. Hongera Rais wetu Jakaya Kikwete, umenifanya nijisikie 'so proud to have you as our president, and to be a Tanzanian in a global world!' Ziara hii kwenye mkutano huu mkubwa wa kimataifa hapa Japan imenipanua zaidi uelewa wangu kuhusiana na diplomasia ya kimataifa na namna changamoto zinazotukabili sote kama raia wamoja wa dunia moja na namna zinavyopatiwa ufumbuzi wa pamoja, kwa namna ya umoja wetu kama binadamu.


MWISHO WA KUNUKUU. source ukurasa wa facebook kwenye wall ya kigwangala

PICHA


picha tukiwa japani
8E9U0455.JPG



8E9U1589.jpg


8E9U1606.jpg


8E9U1127.jpg


8E9U1142.jpg


http://1.bp.blogspot.com/-uCmxOT74Gz...0/8E9U0455.JPG
KAPINGAZ

kiti hiki hapa

2Q==



images



images


Mhe. Rais Jakaya Kikwete ni mtu makini sana. Leo nimeamini nabii hakubaliki kwao, ninaamini ata. Amenifanya nimejisikia proud sana leo kwenye mikutano mitatu niliyoshiriki pamoja naye, yeye akiwa panelist na marais na watu wengine mashuhuri duniani. Kauli yake ya kwanza ni namna alivyosema kuwa tunawaalika wawekezaji kwenye kilimo siyo wachukue ardhi ya wazawa bali wawe chachu ya kukuza uzalishaji wa wazawa wanaowazunguka through outgrower schemes. Alisisitiza hili kwa nguvu sana akisema 'not with me, my grandparents and parents will punish me if I do allow land grabbing from small-holder farmers because I am from the same history and lifestyle...even if they are dead still I fear them'...hadhira ilishangilia kwa maneno haya, na wengine walimpa heshima ya standing ovation. Aliyasema maneno haya mbele ya mkutano wa kilimo na lishe akiwa kwenye panel na Waziri Mkuu Mstaafu wa Japan, Mhe. Yoshiro Mori. Pia, Mhe. Rais Kikwete alifunika hadhira kwa namna alivyoelezea suluhisho la tatizo la ajira kwa vijana pamoja na mikakati iliyopo ya kuongeza ajira na kukuza uchumi. Nilipanga kuchangia lakini baada ya hotuba nzuri ya Rais wetu, niliamua kunyamaza, maana alinifilisi hoja zangu zote, japokuwa kabla ya hapo niliamini nina mchango mzito kwenye jambo ukizingatia nimelifanyia utafiti wa kina na kwa muda mrefu na ni jambo ambali ninalitafutia suluhu kwa vitendo - c.f. Hoja yangu binafsi kwenye Bunge la Februari''
 
Wakora munu waitu. Nshomile.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Good kigwangala hongera sana, japo kuna mamluki watakuja kuponda sana, lakini ukweli kuwa ni heshima kubwa kwako na wengi wana ndoto japo zakuja kupangana na mbunge tu ila hawajapata,hongera kwa uliyojifunza yasiishie kwenye majarida yafanyie kazi
 
Hamisi Kigwangalla

Nipo hapa jijini Yokohama, Japan. Nipo kwenye msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Kikwete kwenye mkutano mkubwa na maarufu duniani kuhusu Afrika unaojulikana kama TICAD V (Tokyo International Conference on African development). Kwa dakika chache jana Mhe. Rais Jakaya Kikwete aliniachia kiti chake, nikaa kwenye round table na marais wengine zaidi ya 50 wa nchi za Afrika! Can you imagine that? Kulia kwangu alikuwa Mhe. Michael Satta (Rais wa Zambia - a very charming fella!) na kushoto kwangu alikaa Mhe. Yoweri Museveni (Rais wa Uganda). Leo tena nimepata fursa ya kuingia kwenye kikao kimoja na Mhe. Rais Jakaya Kikwete na humo tulikuwa kwenye bilateral meeting na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Ban-Ki Moon. Pia nimepata fursa ya kujadili mambo kwenye vikao na Marais Jacob Zuma (South Africa), Ali Bongo Ondimba (Gabone); Rais wa World Bank, Dr. Jim Yong Kim; Rais wa Benki ya Afrika, Dr. Donald Kaberuka; Rais wa JICA, Dr. Akihiko Tanaka etc. Ziara hii imenifundisha mambo mengi ambayo sintoyasahau katika maisha yangu. Nimepata pia fursa ya kumuelewa vizuri zaidi Rais wetu na namna anavyoielewa dunia, kukubalika kwake kimataifa, nafasi yake kati ya viongozi mashuhuri duniani na nafasi yetu kama Taifa katika dunia. Hongera Rais wetu Jakaya Kikwete, umenifanya nijisikie 'so proud to have you as our president, and to be a Tanzanian in a global world!' Ziara hii kwenye mkutano huu mkubwa wa kimataifa hapa Japan imenipanua zaidi uelewa wangu kuhusiana na diplomasia ya kimataifa na namna changamoto zinazotukabili sote kama raia wamoja wa dunia moja na namna zinavyopatiwa ufumbuzi wa pamoja, kwa namna ya umoja wetu kama binadamu.

MWISHO WA KUNUKUU. source ukurasa wa facebook kwenye wall ya kigwangala

Kwa maana nyingine Mkuu wetu hakujali kilicho mpeleka Japan zaidi ya kujongo na kukata mitaa. Sasa naanza kuelewa kwa nini ziara zake za nje hazina manufaa zaidi ya kuteketeza fedha za waTanganyika..
 
sasa inamaana yeye alikuwa hajui kama misafara ya nje jk huwa anakwenda kwa ajili ya shopping? Hii mbulula nayo kuachiwa kiti kwa masaa anaona dunia nzima yake!! Mnyamwezi mpuuzi kweli huyu.

hahahahahahahahahahahaha you made my day. Mbavu khakhakhakha, tehe tehe tehe tehe teheeee
 
[h=5]Hamisi Kigwangalla[/h][h=5]Nipo hapa jijini Yokohama, Japan. Nipo kwenye msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Kikwete kwenye mkutano mkubwa na maarufu duniani kuhusu Afrika unaojulikana kama TICAD V (Tokyo International Conference on African development). Kwa dakika chache jana Mhe. Rais Jakaya Kikwete aliniachia kiti chake, nikaa kwenye round table na marais wengine zaidi ya 50 wa nchi za Afrika! Can you imagine that? Kulia kwangu alikuwa Mhe. Michael Satta (Rais wa Zambia - a very charming fella!) na kushoto kwangu alikaa Mhe. Yoweri Museveni (Rais wa Uganda). Leo tena nimepata fursa ya kuingia kwenye kikao kimoja na Mhe. Rais Jakaya Kikwete na humo tulikuwa kwenye bilateral meeting na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Ban-Ki Moon. Pia nimepata fursa ya kujadili mambo kwenye vikao na Marais Jacob Zuma (South Africa), Ali Bongo Ondimba (Gabone); Rais wa World Bank, Dr. Jim Yong Kim; Rais wa Benki ya Afrika, Dr. Donald Kaberuka; Rais wa JICA, Dr. Akihiko Tanaka etc. Ziara hii imenifundisha mambo mengi ambayo sintoyasahau katika maisha yangu. Nimepata pia fursa ya kumuelewa vizuri zaidi Rais wetu na namna anavyoielewa dunia, kukubalika kwake kimataifa, nafasi yake kati ya viongozi mashuhuri duniani na nafasi yetu kama Taifa katika dunia. Hongera Rais wetu Jakaya Kikwete, umenifanya nijisikie 'so proud to have you as our president, and to be a Tanzanian in a global world!' Ziara hii kwenye mkutano huu mkubwa wa kimataifa hapa Japan imenipanua zaidi uelewa wangu kuhusiana na diplomasia ya kimataifa na namna changamoto zinazotukabili sote kama raia wamoja wa dunia moja na namna zinavyopatiwa ufumbuzi wa pamoja, kwa namna ya umoja wetu kama binadamu.[/h]MWISHO WA KUNUKUU. source ukurasa wa facebook kwenye wall ya kigwangala

Nasikia unawafitini wenzio na mpaka unahonga ili mradi tu upate nafasi msafara wa dhaifu gamba wewe!
Kweli kama viongozi ndo nyie, watanzania bado kazi tunayo!!!
 
Kikwete anakubalika bana! Kilicho baki ni chuki binafs tu.
 
Huyu huyu kigwandala ndiye anaeingiza vitu kupitia kwa kampuni yake bila yakulipa kodi nakwenda kuviuza.
Kweli watazidi kuwa matajiri hawa pamoja na ndugu yao hapo juu.
 
Sasa inamaana yeye alikuwa hajui kama misafara ya nje JK huwa anakwenda kwa ajili ya shopping? hii mbulula nayo kuachiwa kiti kwa masaa anaona dunia nzima yake!! Mnyamwezi mpuuzi kweli huyu.

Naona aliamini ni Rais wa Tanzania kwa muda huo! Mambo mengine wala si ya kuandika kwenye facebook na kujisifu. Hajatuambia aliachiwa kama nani? Hivi na Rais kumuachia huyu jamaa ina maana aliondoka na mawaziri alioenda nao au hakwenda na waziri hata mmoja?
 
Vp hawakuiongelea CDM KAMA KAWAIDA YAO.KWANI IMEKUA DESTURI YAO KILA WANACHOULIZWA UTASIKIA CDM.Hii ni mpaka kwenye majukwaa yakimataifa.
 
Siku zote mbongo anatamani kisicho chake, na akikipata anakidharau, Jk ni rais ila kwa kua ni mbongo ndiyo maana wanamchukia wasio jua Big UP Kigwangala
 
Naona aliamini ni Rais wa Tanzania kwa muda huo! Mambo mengine wala si ya kuandika kwenye facebook na kujisifu. Hajatuambia aliachiwa kama nani? Hivi na Rais kumuachia huyu jamaa ina maana aliondoka na mawaziri alioenda nao au hakwenda na waziri hata mmoja?

Majibu ya swali lako haya hapa ''''
[h=5]Mhe. Rais Jakaya Kikwete ni mtu makini sana. Leo nimeamini nabii hakubaliki kwao, ninaamini ata. Amenifanya nimejisikia proud sana leo kwenye mikutano mitatu niliyoshiriki pamoja naye, yeye akiwa panelist na marais na watu wengine mashuhuri duniani. Kauli yake ya kwanza ni namna alivyosema kuwa tunawaalika wawekezaji kwenye kilimo siyo wachukue ardhi ya wazawa bali wawe chachu ya kukuza uzalishaji wa wazawa wanaowazunguka through outgrower schemes. Alisisitiza hili kwa nguvu sana akisema 'not with me, my grandparents and parents will punish me if I do allow land grabbing from small-holder farmers because I am from the same history and lifestyle...even if they are dead still I fear them'...hadhira ilishangilia kwa maneno haya, na wengine walimpa heshima ya standing ovation. Aliyasema maneno haya mbele ya mkutano wa kilimo na lishe akiwa kwenye panel na Waziri Mkuu Mstaafu wa Japan, Mhe. Yoshiro Mori. Pia, Mhe. Rais Kikwete alifunika hadhira kwa namna alivyoelezea suluhisho la tatizo la ajira kwa vijana pamoja na mikakati iliyopo ya kuongeza ajira na kukuza uchumi. Nilipanga kuchangia lakini baada ya hotuba nzuri ya Rais wetu, niliamua kunyamaza, maana alinifilisi hoja zangu zote, japokuwa kabla ya hapo niliamini nina mchango mzito kwenye jambo ukizingatia nimelifanyia utafiti wa kina na kwa muda mrefu na ni jambo ambali ninalitafutia suluhu kwa vitendo - c.f. Hoja yangu binafsi kwenye Bunge la Februari''[/h]
mwisho wa kunukuu source- facebook wall ya kigwangala
 
Back
Top Bottom