HKigwangalla
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 717
- 971
Hivi aliyegalagazwa hapa ni nani, Kigwangalla, ambaye ni MB sasa ama ni huyo rafiki yako Bashe ambaye ni mropokaji nje ya vikao?
Safari ilikuwa ni ya kuelekea wapi, Bungeni siyo, nani amefika sasa?
Safari ilikuwa ni ya kuelekea wapi, Bungeni siyo, nani amefika sasa?
Sijawahi elewa Hamis Kigwangala ni mwanasiasa mwenye msimamo wa aina gani ndani ya CCM. Huwa simwelewi,maana haeleweki. Anafanya siasa za majungu na unafiki. Heri ya Bashe ameweka msimamo wake wazi ni wapi anasimamia. Inaonyesha kugaragazwa vibaya katika kura za mchujo za CCM kumemwacha Kigwangala na uwoga na kutojiamini.