Uzalendo Installer
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 5,361
- 8,835
Ujenzi gharama..hakuna nyumba ya bei hyo...
Ujenzi gharama..hakuna nyumba ya bei hyo...
Karibu sana bossAhsante Kwa taarifa...
Chumba mbili 8m jamani huu utapeli samahani..Zipo nyumba aina 3
- CHUMBA KIMOJA: chumba kimoja cha kulala, sebule-dining-jiko, choo-bafu, veranda
- VYUMBA VIWILI: vyumba vya kulala 2, sebule-dining-jiko, choo-bafu, veranda
- VYUMBA VITATU: chumba master, vyumba 2 vya kulala , sebule-dining-jiko, choo-bafu, verandaView attachment 2076342
Ramani chumba kimoja 1BHKView attachment 2076432
Ramani vyumba viwili 2BHK
View attachment 2076433
PIA TUNAZO RAMANI ZA NYUMBA NYINGINE ZAIDI YA 300 UNAZOWEZA PATA NA UZIJENGE POPOTE TANZANIA NA AFRIKA
Tunazo Ramani nyingi zaidi ya 300 zenye picha, michoro, makisio gharama, vipimo... ambazo unaweza chagua na kuzinunua... Ramani zetu tunauza nchi zote Afrika na baadhi worldwide kwa kupitia website zetu... siwezi weka link hapa sababu nitakuwa-banned
Ila
Fanya Hivi Kuchagua na Kupata Ramani Zetu
👇👇👇
👉 Nenda Google search: MAKAZI RAMANI
👉 Nenda Play Store pakua App yetu: MAKAZI RAMANI
👉 Nenda YouTube channel: MAKAZI NETWORK
Au
Nione WhatsApp nikupe links ktk namba: +255-657-685-268
Nahamia kabisa mkuu?M8 kwa room moja sawa
Yaani mtu ahamie nyumba ambayo haina milango wala madirisha?Hello mkuu
Kitanzania ukishajenga MSINGI, KUTA, PLASTA NA PAA yaani BOMA la nyumba unaweza hamia kisha
Finishing ukawa unaifanya huku upo ndani
Binafsi naona maelezo na heading ya thread yangu yapo sawa na yapo zaidi kumpa mtu hamasa aone anaweza jenga
PIA TUNAZO RAMANI ZA NYUMBA NYINGINE ZAIDI YA 300 UNAZOWEZA PATA NA UZIJENGE POPOTE TANZANIA NA AFRIKA
Tunazo Ramani nyingi zaidi ya 300 zenye picha, michoro, makisio gharama ambazo unaweza chagua na kuzinunua... Ramani zetu tunauza nchi zote Afrika na baadhi worldwide kwa kupitia website zetu... siwezi weka link hapa sababu nitakuwa-banned
Ila
Fanya Hivi Kuchagua na Kupata Ramani Zetu
Nenda Google search: MAKAZI RAMANI
Nenda Play Store pakua App yetu: MAKAZI RAMANI
Nenda YouTube channel: MAKAZI NETWORK
Au
Nione WhatsApp nikupe links ktk namba: +255-657-685-268
Thubutu.Master...??
NdioNahamia kabisa mkuu?
Njoo nikukabidhi hizo hela na kwanja fasta nataka mwisho wa february niwe mjengoni kwanguNdio
Zipo kwani kuna ulazima wa kujengea simenti au kuweka ring beam?Ujenzi gharama..hakuna nyumba ya bei hyo...
Haya sasa ndio maneno. Ramani mpaka ujenzi u achukua muda ganiEpuka nyumba za kupanga kwa kuanza kumiliki nyumba yako ya gharama nafuu
Tumeandaa ramani hizi maalumu kwa yule anayetaka kumiliki nyumba yake kwa haraka kwa gharama nafuu.
- nyumba hizi ni maalumu kwa unafuu (Chumba Kimoja ~6Mil, Vyumba Viwili ~9Mil, Vyumba Vitatu ~13Mil)
- Makisio hayo ya gharama ni kwajili ya kujenga msingi, kuta, plasta na paa (jumla ya gharama za vifaa + ufundi)
- unaweza jenga nyumba hizi kidogo kidogo kwa awamu mpaka unamaliza
- ni nyumba nzuri za kisasa, kuvutia na zipo simple, hazitumii gharama kubwa kujenga
- ni nzuri kwa mtu mwenye familia ndogo (~5) na kwa anayetaka kujenga za kupangisha
- unaweza jenga popote Tanzania
- nyumba hizi zinatumia sehemu ndogo ya kiwanja (~12*12m)
- Unaweza anza jenga chumba 1 baadaye ukaipanua kwenda vyumba vitatu (au viwili kwenda vitatu)
- kwetu utapata huduma zifuatazo: Ramani full ya nyumba, list ya vifaa vyote vinavyohitajika, mafundi wa kukujengea
- hatukopeshi nyumba, bali unajenga kwa pesa yako (unaweza jenga kidogo kidogo kwa awamu mpaka Inakwisha)
+255-657-685-268 (Piga/ WhatsApp)
Makazi Network
View attachment 2125648
Big up,keep up the movementZifuatazo ni Aina Kadhaa za Nyumba za kuishi Familia ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako. Zipo ktk uwanja mpana wa STAILI, KIASI CHA KIWANJA, KIASI CHA VIFAA...
View attachment 996857
Kutazama Ramani Zake za Ndani
+255-657-685-268 WhatsApp
1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50
2 ==> vyumba 3, tofali 1800, bati 60
3 ==> vyumba 3, tofali 1900, bati 65
4 ==> vyumba 3, tofali 1400, bati 62
5 ==> vyumba 3, tofali 2278, bati 65
6 ==> vyumba 3, tofali 3000, bati 80
7 ==> vyumba 3, tofali 2380, bati 76
8 ==> vyumba 3, tofali 2333, bati 70
9 ==> vyumba 3, tofali 2776, bati 85
10 ==> vyumba 3, tofali 3118, bati 91
11 ==> vyumba 2, tofali 3666, bati 119
12 ==> vyumba 4, tofali 3324, bati 108
13 ==> vyumba 3, tofali 2522, bati 76
14 ==> vyumba 4, tofali 4213, bati 108
15 ==> vyumba 4, tofali 5118, bati 136
16 ==> vyumba 4, tofali 5013, bati 128
17 ==> vyumba 3, tofali 4236, bati 97
18 ==> vyumba 3, tofali 3883, bati 126
19 ==> vyumba 4, tofali 3769, bati 95
20 ==> vyumba 4, tofali 3033, bati 94
21 ==> vyumba 4, tofali 4139, bati 152
22 ==> vyumba 4, tofali 6668, bati 163
23 ==> vyumba 2, tofali 3623, bati 59
24 ==> vyumba 3, tofali 2914, bati 33
25 ==> vyumba 3, tofali 4006, bati 82
26 ==> vyumba 3, tofali 4177, bati 99
27 ==> vyumba 4, tofali 5584, bati 77
28 ==> vyumba 4, tofali 9188, bati 36
= Idadi hiyo ni ya vyumba vya kulala (jumla ya master na vyumba kawaida.
= Sebure, dining, jiko, choo ndani vipo kama kawaida
= mawasiliano yangu +255-657-685-268
Kwa anayehitaji kujua makisio ya gharama za ujenzi kwa nyumba specific uliyochagua
- ninachaji ada ya Tshs. 50,000/= nyumba ya kawaida au 100,000/= kwa GHOROFA
- ambapo nitakuandalia mchanganuo wake (tazama comment ya kwanza kwa mfano wa ripoti ya mchanganuo) na utapata ndani ya masaa 24
Makadirio hayo yana uhakika zaidi
- tofali ni za block nchi 5 au 6
- hiyo ni jumla ya tofali za MSINGI + KUTA
- makadirio ya tofali assumption kiwanja chako kipo flat na ardhi nzuri
- - kama kiwanja chako ni mteremko basi tofali idadi itaongezeka
- bati ni za kawaida za urefu wa futi 10 (mita 3)
Kitaalamu na kwa soko la Tanzania kwa nyumba ya familia iliyojengwa vyema kila kitu mpaka finishing
---> nyumba ya gharama nafuu (tofali 1000-2500, bajeti 25 - 40M)
---> nyumba ya kawaida (tofali 3000 - 4500, bajeti 40 - 70M)
---> Nyumba bungalow (tofali 5000 - 7000, bajeti 80 - 130M)
---> Ghorofa gharama nafuu (bajeti 110 - 150M)
---> Ghorofa kawaida (bajeti 180 - 250M)
---> Ghorofa premium (bajeti 350M--->
Gharama Kwa nyumba ya kawaida kitaalamu [ijapokuwa zinaweza kutofautiana kutegemeana na eneo na staili]
- 45% ya gharama ya ujenzi ni kujenga boma (msingi, kuta na bati), 55% hutumika kufanya finishing
- Steji zinazokula gharama ya ujenzi ni (paa ~15%, Msingi 12%, Madirisha 12%, Milango 11%)
- Ktk ujenzi wako steji ya kupiga paa inapaswa uwe makini [mbao zinakula gharama] pia inahitajika nguvu kwa mara moja tofauti na steji nyingine
***** Popote ulipo Dar es Salaam, Mikoani, Nje ya Nchi waweza pata huduma zetu
***** Tunafanya kazi kwa njia ya mtandao (website), waweza tumiwa kwa posta au basi
+++ Simu mawasiliano (+255-657-685-268)
+++ Ukipiga simu basi ndugu usiwe mchoyo wa malipo ili upate huduma nzuri maana tunafanya biashara
+++ NYUMBA NAFUUU - Tegeta Salasala, DSM-TZ (karibu ofisini ada Tsh. 25,000/=)