Hamas wanaweza kutengeneza rocket Je Tanzania tunatengeneza silaha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamas wanaweza kutengeneza rocket Je Tanzania tunatengeneza silaha?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rubabi, Jan 4, 2009.

 1. R

  Rubabi Senior Member

  #1
  Jan 4, 2009
  Joined: Nov 30, 2006
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Au silaha zote tunanunua?
  Naomba habari kwa mnaojua!
   
 2. G

  Ghwakukajha Senior Member

  #2
  Jan 4, 2009
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama kuna umuhimu sana wa sisi kujitengenezea silaha.Kama viwanda vya kutengeneza bidhaa muhimu,mashirika kama ATCL,TRL etc yanafikia hali yaliyonayo then ipo wazi kuwa bado tuna maeneo mengi tunayopaswa kuyapa kipaumbele kabla hatujafikia kwenye hilo la kutengeneza silaha.
  BTW;
  Ushawahi kusikia zile "bunduki pori" zilizokuwa zikitengenezwa maeneo ya Mbozi-Mbeya???Wale waliokamatwa kwenye msako wa kutafta watengenezaji nadhani still wapo gerezani,na zana zao za kutengenezea possibly zitakuwa zilishakuwa destroyed.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,867
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Rocket za Hamas aim yake ya kubahatisha, na sisi hatupo kwenye conflict na mtu yoyote so itakua ni kupoteza resources tu.
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Jan 4, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,014
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Zamani sana tulikuwa na kiwanda cha kutengeneza silaha ndogo ndogo za kijeshi pale Morogoro kikijulikana kama Mzinga Corporation; mara ya mwisho nilikisikia mwaka 1989. Sijui kama bado kipo hadi leo.
   
 5. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na yale magobore huwa tunaagiza toka nje?
   
 6. share

  share JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 1,623
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kichuguu, heshima yako. Mzinga Corporation bado ipo and going stronger. Silaha ndogondogo zikiwemo risasi zinatengenezwa pale. Nilisikia wakati fulani kuwa kuna wasiwasi wa usalama wa maji kwa jiji la Morogoro maana mto mzinga unamwaga maji kwenye ziwa Mindu a.k.a bahari ya Morogoro waliochimbiwa na Nyerere. Inasemekana kuwa mto mzinga una asilimia kubwa ya mabaki ya mercury yatumikayo kwenye utengenezaji wa silaha hizo. Mabaki hayo yanamwagwa mto mzinga. Sijui suala hilo lilifuatiliwa vipi na wahusika. Anayejua zaidi atupe mwanga.
   
 7. M

  MKUDE WA MGETA Member

  #7
  Jan 6, 2009
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo sawa lakini hizo risasi za mzinga ni quality yake haikidhi kimataifa yaan bado tunajikongoja
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Tanzania tunatengeneza silaha zile za asili kama pinde, mishale, mikuki, podo, marungu, ngao, sime, shoka,mapanga, Magobole etc etc sidhani kama tunaagiza nje hizi!!! Lakini tukija kwenye misiles na biological weapons tunategemea kununua kwa rafiki zetu wa nje ie China, USSR, US, Canada etc etc
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,870
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Kutengeneza silaha ni muhimu sana kwa taifa lolote.Suala si kutengeneza tu lakini kuna R&D(Research and Development)-hapa ndio faida ya kutengeneza silaha inapatikana.
  Viwanda vingi vinavyotengeneza silaha ni vya kiraia hivyo kuna ajira.Matokeo ya R&D mara zote yanaishia katika matumizi ya kiraia.
  Hebu fikiria simu za mikononi zimekuwepokwa zaidi ya miaka 40 hasa kwa nchi zilizoendelea.Ilikuwa technologia ya kijeshi tu hapo nyuma.
  Missile technology imeweza kupeleka satellites angani ambazo kwa sasa zinatumika kwa mawasiliano.
  Pamoja na utengenezaji wa silaha pale Mzinga , wahusika tunaomba watueleze ule mpango wa kutengeneza an All- Weather- Vehicle kwa Tanzanian specifications ,pale Kibaha uliishia wapi.
  Utengenezaji wa silaha ulio endelevu unaweza kuleta mafanikio ya kiraia yenye manufaa kwa jamii.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,346
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Siraha tunazo
   
 11. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,398
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Na tutengeneze umeme kwanza wa kutosha ndio tuingie kwenye mambo mengine
   
 12. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2011
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Msidharau nchi yetu! Mmeshafika nyumbu kibaha kama hamjui mambo mkae kimya msibwabwaje
   
 13. Bupilipili

  Bupilipili Member

  #13
  Oct 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nyumbu ipi unayozungumzia?????????????????
   
Loading...