Hamahama zinapoepusha kiama: CHADEMA kuimarika maradufu!

kwanini tunazungumzia upande mmoja tuu,toka 2015 hadi leo inamaana hakuna waliohamia CHADEMA kutoka CCM??Nyalandu,Lowassa.Sumaye. inamaana hawa walihamia CHADEMA ni afadhali zaidi ya wanaohamia CCM?inamaana waliohamia CHADEMA wameenda kukijenga chama ila waliohamia CCM wameenda kukibomoa chama?
Mkuu,usihangaike nao hao. Akili zao wanazijua wenyewe tu.
 
Huyu mzee Tupatupa vyuma vimemkazia. Sasa mtu akihama kwenda upande wa Cdm toka Ccm, hiyo dhana ya kuvuja kwa pakacha haipo??
Kama huo ndio mtizamo wa mwanao aliye University sijui, inawezekana dogo naye ni pakacha darasani.
 
Hivi ni nini atakachokisema Katambi tukamsikia? Wrong choice and poor strategic plan.
 
Back
Top Bottom