Hamadi Rashid afunguka; adai Mtatiro, hajarejesha 'chenji' ya helikopta! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamadi Rashid afunguka; adai Mtatiro, hajarejesha 'chenji' ya helikopta!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohamedi Mtoi, Dec 16, 2011.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Hamadi Rashidi akiwa anafunguka kupitia kipindi cha Baragumu cha chanel 10 anamesema kuna maswala ya msingi ya kuhoji kwenye chama, sio kuhoji haki ya mtu kutangaza nia.
  "Mambo ya msingi ni kuhoji kwa nini chama kinapoteza mvuto, mtatiro alikodi helkopta change hajarudisha, ukihoji haya unaonekana una matatizo"

  mtatiro rudisha change ya helkopta.
   
 2. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  nendeni Pemba mkajipange upya!!!!!!
   
 3. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,447
  Likes Received: 7,187
  Trophy Points: 280
  Yeye kamuona JUJU tu?mweh huyu naona hapendi juju awe hapo alipo yaani naibu katibu
   
 4. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndo "vita dhidi ya ufisadi", ila tatizo ni pale fisadi anapokuwa yule tu asiyekuunga mkono kisiasa! Wengine sio mafisadi, hata kama ni mafisadi.
   
 5. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HR ana wivu wa kike tu, mwambieni aende zake akajipange!!!!!!!!
   
 6. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwani alirudisha chenji?

  Kama hakurudisha basi huo ni ufisadi.
   
 7. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,297
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Hamad anashangaza. Huyu ndiye alimzushia Prof Safari alipotaka kugombea uenyekiti wa CUF. Leo anahoji CUF kupoteza mvuto aliochangia kuupoteza!
   
 8. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  bado tutayaona vizuri.........uroho wa madaraka.
   
 9. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ndio siasa hiyo mzee, hata mabomu ya Mbagala hayalipuki siku zote!
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu mzee ni wa hovyo sana..nilikuwa namheshimu sana kumbe wa ajabu sana huyu mzee.
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nina wasiwasi mahesabu ya hivi vyama mbuzi vya siasa kama huwa yanakuwa audited.
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Since uchaguzi wa Igunga Mtatiro hajawai kutia pua humu JF tena, siasa za maji ya chooni zinawagharimu CUF.
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Ameshawahi tia timu humu, aliweka kaushahidi kuwa helikopta alikodi kwa jina lake!!!!!!!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hiv prof safari ni prof by professional? Au ni kama Prof Maji marefu au Dr.Mtitu? Au Ni Prof wa kiswahili?
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Cuf imepoteza mvuto kwa sababu ya HR. alipokuwa KUB alishindwa kuongoza hasa chama chake kiongolee maswala ya msingi na kuuacha mwanya huo utumiwe peke yake na CDM.
  wabunge wa CUF wakawa wanaongea pumba huku CDM wakiongea dhahabu jambo ambalo HR alikuwa anaweza kuwakumbusha wabunge wake nini hasa cha kuongelea bungeni.
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  BY PROFFESIONAL???? hata maji marefu ni proffesional kwenye uchawi
  Safari ni Prof by Usomi
   
 17. A

  Akiri JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hata sued kubenea wa mwanaharisi kamwe hawezi andika mabaya ya mengi na mwakyembe.
   
 18. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  ina maana alichukua mzigo wa fedha bila kupata profma invoice au invoice?kama waliikodi on cash basis si lazima waliulizia bei ndio akapeleka fedha!hii haiingii akilini,..purely gutter politics,..na yeye hamad arudishiwe chenji inamhusu nini wakati hela alitoa rostam aziz,.nafikiri wa kulalamika kurudishiwa chenji nirostam na ccm A sio ccm B
   
 19. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wacha luonane huko..................wacha wakinukiashiane wenyewe kwa wenyewe
   
 20. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #20
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Viongozi wetu wapo kama miungu watu hawatakiwi kupewa changamoto,akitokea mtu kuonesha nia ya kugombea uongozi cheo chake tu,ni mchochezi sasa nn maana ya democracy?na nn maana ya uchaguzi upite bila kupingwa?leo tunayaona cuf na itapotokea mtu kuonesha nia ya kugombea uenyekiti tutayaona cdm na hata nccr hata ccm wanataka kuka madarakani bila kupingwa sasa democracia tunayohihubiri maana yake nn,mbadilike watanzania wasasa sio wale wa wakati wa vidumu fikra za mwenyekiti
   
Loading...