Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,633
- 29,506
Huyu Bwana ni mgombea urais Zanzibar unaofanyika leo kupitia chama cha ADC,
Kusema ukweli huyu jamaa ananishangaza sana kama sio kunisikitisha,
Yeye siku zote anawaza au kudhani kua yeye ni Makamu wa Rais ajaye. Hesabu zake zinamwambia kua kama CUF wakiwa hawapo basi yeye au chama chake kitakua cha pili. Yaani hata akitembea basi siku zote anatembea ki-makamu makamu hivi. Hata Ongea yake ni hivyohivyo. Yaani ameshajiandaa kabisa kua Makamu wa Rais.
Huyu Bwana anasahau kua bila CUF kuwepo basi yeye au chama chake kitapata labda 1% tu wakati sheria inamtaka Makamu wa Kwanza wa Rais kutoka upinzani apate walau 10%. anasahau kua chaguzi zote za Zanzibar hawa CCM & CUF hua wanagawana 99% na kuviachia vyama vingine kikiwemo ADC hiyi 1%. Anasahau pia kua kama CUF walipata kura 170,000+, tuseme 10% wakijitokeza tu ambao wao labda hawajasusa ambao ni 17,000+ basi wataiacha ADC kwa mbali sana.
HAMAD RASHID MOHAMMED, Wacha Kujidanganya utakua Makamu wa Rais