Hamad Rashid anatumiliwa na CCM.

Micheweni Pemba

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
351
179
TAMAA ZA CCM NI SAWA NA FISI.

ANGALIA WATU WANANG'ANG'ANIA HATA UMEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM.
KWANZA MEYA WA CCM DAR NI FISADI ALIYEKUBUHU HALAFU NDO WANANG'ANG'ANIZA APEWE UMEYA.

KWANINI MAKUFULI UNAKUBALI UJINGA HUU.
OTHERWISE NADHANI ULIOWATUMBUA ULIKUWA NA VISASI NAO. SUALA LA ZANZIBAR

LIMELAZIMISHWA BILA KUWA SHIRIKISHI NA KUNATAARIFA KUWA BAADHI YA KURA ZA CCM AMEPEWA HAMAD RASHIDI ILI KUBALANCE KUWA KUNA VYAMA VYA UPINZANI ZANZIBAR.
 
Upinzani Tanzania ni kama daladala, ukishuka anapanda mwingine, haswa pale mmoja akiota mapembe kama cuf , simlaumu hamad Rashid kaiona fursa
 
Sijui Kama Nimesikia Vibaya, Mbona Kama Idadi Ya Kura Za Hamad Rashid Ni Chache Kulinganisha Na Za Maalim Seif! Au Nimemsoma Vibaya JECHA!!
 
Upinzani Tanzania ni kama daladala, ukishuka anapanda mwingine, haswa pale mmoja akiota mapembe kama cuf , simlaumu hamad Rashid kaiona fursa
Amepata Kura Ngapi!!!?? Maana Shein Amepewa 96%, Maalim Seif 6% Na Hamad Rashid 3%! Au Nimemsoma Vibaya JECHA Akitangaza Matokeo Rasmi Muda Mfupi Uliyopita Tu!
 
wazanzibar wakichuma janga watakula na ndugu zao watanganyika.
 
Amepata Kura Ngapi!!!?? Maana Shein Amepewa 96%, Maalim Seif 6% Na Hamad Rashid 3%! Au Nimemsoma Vibaya JECHA Akitangaza Matokeo Rasmi Muda Mfupi Uliyopita Tu!
Wee hua unasikilizia masaburi, uchaguzi gani unapitiliza 105%
 
jn kura ilipigwa km changa la macho matokeo yalisha andaliwa zamani na akina january makamba,,,jecha alienda pale kusoma tu
 
Back
Top Bottom