Hamad Rashid alivuliwa uongozi CUF ilikufa?

Nsaji Mpoki

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
396
65
Hamad Rashid alivuliwa uongozi na baadhi wakakimbilia ADC lakini CUF ipo. Mrema, Wasira na wengine walihama NCCR lakini chama kipo. Fatma Maghimbi, Tambwe Hiza walikimbia CUF lakini chama kipo. Kafulira alitaka kutimuliwa nccr angeacha chama kinaendelea. Shibuda katimkia chadema lakini ccm ipo. Zito ana jupya gani kama si kupoteza muda tu hapa jf wa kujadili mambo ya maana.
 
kwahiyo unataka mjaribu kwa ZZK? sumu haijaribiwi kwa ulimi ndugu
 
Back
Top Bottom