Nsaji Mpoki
JF-Expert Member
- Nov 5, 2007
- 396
- 65
Hamad Rashid alivuliwa uongozi na baadhi wakakimbilia ADC lakini CUF ipo. Mrema, Wasira na wengine walihama NCCR lakini chama kipo. Fatma Maghimbi, Tambwe Hiza walikimbia CUF lakini chama kipo. Kafulira alitaka kutimuliwa nccr angeacha chama kinaendelea. Shibuda katimkia chadema lakini ccm ipo. Zito ana jupya gani kama si kupoteza muda tu hapa jf wa kujadili mambo ya maana.