Halua is overrated

Kuna watu wanajifunza kutengeneza HALUA haja jua vema tayari kayakoroga anayabeba zawadi kwa asiyeijua HALUA Mara kayaleta jf
 
Halwa ni ocassional food, mara nyingi huandaliwa katika matukio maalum
Na kula halwa bila ya kahawa chungu ni muhali
Kawaida watu wa pwani huwa wanamechisha chakula kama wanavyomechisha nguo. Kwa mfano huwezi pika ugali na mchuzi mwepesi, ugali mwenzie ni mchuzi mzito
Hivyo hivyo kwa mseto, muhogo, na wali
 
Ulimbukeni tu unamsumbua, akikuwa taacha. Watu kama wa sifa huwa kiukweli hana hata huyo demu, yupo desperate tu.
Nadhani la muhimu hapa ni je, Kuna nutrients Gani kwenye halua? Aina Gani ya Sukari imo? Je, ni Ile MBAYA kwa afya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom