Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,645
Wakuu!
Hii kitu inayoitwa halua ambayo inasifika sana hasa maeneo ya Pwani na Zanzibar kiukweli imekuwa overrated kwani nimeijaribu na nimeshangaa kuiona ina ladha mbaya ukichanganya na appearance yake pia ni hovyo..
Binafsi ni mzaliwa wa Pwani, Tanga but sikuwahi kuipenda hii kitu (haijanivutia) bora hata tende zipo Good!! Sijui wenzangu mnaotumia au mliowahi kuzitumia mmezionaje?
May be am wrong on it!!
Nimejaribu kuvuta picha zake humu bt unfortunately zimegoma nilitaka Wale wanaosikia tu jina la "halua" bila Kuiona waione