Halotel, zile MB zenu za YouTube mmeziwekaje mbona hazitumiki zinatumika hizi zingine?

Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
44,313
105,142
Baada ya gharama za vifurushi kupanda leo nikaamua kujiunga bundle la chuo la 1500 nimepewa 1GB na MB 500 zinazojitegemea kwa ajili ya youtube pekee. Kwa hiyo hapa jumla nikawa na 1.5GB

Sasa kinachonishangaza nimejaribu kuangalia video youtube (nikitegemea zitatumika zile MB500) ambazo nilipewa kwa ajili ya youtube ila cha ajabu nilipoangalia salio zile MB za youtube ziko vile vile halafu zimepungua MB ambazo sio maalumu kwa youtube.

Hapo ndio nikastuka na kujiuliza kuwa ina maana ili hizi MB 500 zitumike inatakiwa lile bundle lako la GB1 liwe limeisha kwanza?
 
Halotel ndio zao, hata ukijiunga kifurushi cha dk ukapewa dk za halotel na za mitandao mingine, ukipiga halotel kwa halotel wanakata kwenye dk za mitandao mingine hadi zikiisha ndio zinabaki za halo-halo unaendelea kutumia
 
Pole mkiwa mnajiunga kuna ka swali huwa mnaulizwa pale sijui huwa hamkaoni..😁
 
Baada ya gharama za vifurushi kupanda leo nikaamua kujiunga bundle la chuo la 1500 nimepewa 1GB na MB 500 zinazojitegemea kwa ajili ya youtube pekee. Kwa hiyo hapa jumla nikawa na 1.5GB

Sasa kinachonishangaza nimejaribu kuangalia video youtube (nikitegemea zitatumika zile MB500) ambazo nilipewa kwa ajili ya youtube ila cha ajabu nilipoangalia salio zile MB za youtube ziko vile vile halafu zimepungua MB ambazo sio maalumu kwa youtube.

Hapo ndio nikastuka na kujiuliza kuwa ina maana ili hizi MB 500 zitumike inatakiwa lile bundle lako la GB1 liwe limeisha kwanza?
Hahah! nacheka kama mazuri vile, ila hawa jamaa mbona wanatabia mbaya sana..
 
Mimi week hii sihangaiki kujiunga utopolo wowote mpaka nijihakikishie ubora kutoka kwa wengine.
 
Pole mkiwa mnajiunga kuna ka swali huwa mnaulizwa pale sijui huwa hamkaoni..😁
Kale kaswali kaki dwanzi sijui "bonyoza moja kutoruhusu salio lako la ziada kutumika endapo kifurushi chako kitaisha"

Sasa hiki kiswali hakipo kama unajiunga hilo bando la GB 1 kua usiruhusu bando hilo lisitumike youtube bali litumike zile MB500 pekee
 
Mpk hapa ushanichanganya kwaheri mkuu ila hilo swali ndo hilo kwa msaada wapigie wakutatulie
 
Mwenyew mim washanifanya hivo aseeeh .....
Mpk MB zile 1024 ziishe ndipo utakapo 2mia hzo 500 za youtube lkin ukivunga kutumia kabla hazijaisha wanakata hzohzo hapo nd wanakosea hwa halotel alaf xxiv wana Bando za gharam xn duuuh...
 
FB_IMG_16173544760871472.jpg

Hawa hapa wanachamba kinoma
 
Mwenyew mim washanifanya hivo aseeeh .....
Mpk MB zile 1024 ziishe ndipo utakapo 2mia hzo 500 za youtube lkin ukivunga kutumia kabla hazijaisha wanakata hzohzo hapo nd wanakosea hwa halotel alaf xxiv wana Bando za gharam xn duuuh...
Naomba hio menu mzee
 
Baada ya gharama za vifurushi kupanda leo nikaamua kujiunga bundle la chuo la 1500 nimepewa 1GB na MB 500 zinazojitegemea kwa ajili ya youtube pekee. Kwa hiyo hapa jumla nikawa na 1.5GB

Sasa kinachonishangaza nimejaribu kuangalia video youtube (nikitegemea zitatumika zile MB500) ambazo nilipewa kwa ajili ya youtube ila cha ajabu nilipoangalia salio zile MB za youtube ziko vile vile halafu zimepungua MB ambazo sio maalumu kwa youtube.

Hapo ndio nikastuka na kujiuliza kuwa ina maana ili hizi MB 500 zitumike inatakiwa lile bundle lako la GB1 liwe limeisha kwanza?
Halotel ni wezi wakubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom