Halotel mna nini? Kwanini Internet yenu inasumbua hivi?

lukubuzo Samsis

JF-Expert Member
Nov 3, 2014
2,928
3,340
Halotel ndio mtandao mbovu kuwahi kutokea Tanzania; mtandao niko near na HQ lakini mtandao unapotea saa zima?

Wahusika wamekaa ofisini wamejaza mavitambi tu, kama mjini ndo mnasua sua hivi je huko kijijini hali ikoje?

Nimeingia mlandizi mara kadhaa hapo,bars zinakata,huoni hata moja.Ili ubahatishe lazima uwe mjini!

Sehemu ambayo network ni ya shida kabisa ujue basi TIGO ndo atasoma H, H+ nk.

Halotel kazi imewashinda, network shida, vifurushi mmepandisha bei, hela haiokotwi. Wacheni UTOPOLO!

......UDATE......

Leo tena jumamosi,tar 8/8/2020 saa13:15 Mtandao wa Halotel data imekata.Niko HQ hapa,hivi Halotel kazi imewashinda?Mnazingua.

Hapo chini data iko on,lakini halotel data imepotea.
 
Hata mie niliwatumia sana vizuri tu kwenye data. Kilichonifanya niachane nao ni gharama zao za bando data kulinganisha na Airtel.
Unajua matumizi tunatofautiana na kila mtu anamtandao wake pendwa ambao anaona kwake ni nafuu sana.
 
Halotel ndio mtandao mbovu kuwahi kutokea Tanzania; mtandao niko near na HQ lakini mtandao unapotea saa zima?

Wahusika wamekaa ofisini wamejaza mavitambi tu, kama mjini ndo mnasua sua hivi je huko kijijini hali ikoje?

Nimeingia mlandizi mara kadhaa hapo,bars zinakata,huoni hata moja.Ili ubahatishe lazima uwe mjini!

Sehemu ambayo network ni ya shida kabisa ujue basi TIGO ndo atasoma H, H+ nk.

Halotel kazi imewashinda, network shida, vifurushi mmepandisha bei, hela haiokotwi. Wacheni UTOPOLO!
Tangia niwaone vigogo wa Halotel wamechuchumalishwa kwenye viunga vya mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za makosa ya utakatishaji wa fedha, huduma zao zimekuwa ni mbovu kishenzi.

Hapo mwanzo walianza vizuri sana, tukawapenda kwa huduma zao za kimtandao hasa voice na internet, lakini hivi sasa ni hovyo kabisa kupita maelezo kama ulivyoeleza mtoa mada.
 
Halotel ndio mtandao mbovu kuwahi kutokea Tanzania; mtandao niko near na HQ lakini mtandao unapotea saa zima?

Wahusika wamekaa ofisini wamejaza mavitambi tu, kama mjini ndo mnasua sua hivi je huko kijijini hali ikoje?

Nimeingia mlandizi mara kadhaa hapo,bars zinakata,huoni hata moja.Ili ubahatishe lazima uwe mjini!

Sehemu ambayo network ni ya shida kabisa ujue basi TIGO ndo atasoma H, H+ nk.

Halotel kazi imewashinda, network shida, vifurushi mmepandisha bei, hela haiokotwi. Wacheni UTOPOLO!
Samahani na Pole sana kwa usumbufu Ndugu Mteja wetu! Tulikuwa tunatekebishe line yetu ya Kanda ya Mashariki na Pwani(mikoa ya Dar es Salaam,Pwani, Morogoro na Tanga). Sasa zoezi limeisha,Tafadhali Furahia Huduma zetu!! Karibu sana....! Usisite kututwangia pale unapopata tatizo lolote linalohusiana na Halotel..!! Kwetu Mteja ndio Mwajiri wetu! Lazima tumsikilize na kutii kiu yake....
 
Halotel ndio mtandao mbovu kuwahi kutokea Tanzania; mtandao niko near na HQ lakini mtandao unapotea saa zima?

Wahusika wamekaa ofisini wamejaza mavitambi tu, kama mjini ndo mnasua sua hivi je huko kijijini hali ikoje?

Nimeingia mlandizi mara kadhaa hapo,bars zinakata,huoni hata moja.Ili ubahatishe lazima uwe mjini!

Sehemu ambayo network ni ya shida kabisa ujue basi TIGO ndo atasoma H, H+ nk.

Halotel kazi imewashinda, network shida, vifurushi mmepandisha bei, hela haiokotwi. Wacheni UTOPOLO!

Hivi nilidhani ni Mimi tu...yaani unakata unapotea kabisa ..bas nikahis shida labda simu...haitakuja tokea mtandao wa ovyo Kama Halotel...waende "Mombasa" wehu hawa
 
Mtoa mada hebu angalia simu yako kwanza kabla ya kuwalaumu Haloteli shida yaeza kuwa simu.
Mimi nimesafiri sehemu nyingi sana na nina laini za mitandao mingine ila karibia kila mahali halotel ina netwec vizuri kabisa.

Alafu vifurushi vyao ndo nabaki itumia hii laini.
Nikifulia, kama nina shilingi 47 kwa halopesa najiunga msg siku . Nikija kwenye Mb jamaa wanatoa GB 1 wiki nzima kwa buku tu.
 
Hakuna mkuu...Ina Kama wiki 3! Yaani unakata kbs unabaki kuzima sm na kuwasha....
 
Back
Top Bottom