Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,524
Mkuu, mfano hapa Mbeya ni Maeneo Machache saana Halotel wanapatikana kwa 4G hiyo. Eneo nililopo hata kutuma tu Msg za Kawaida ni shida ila nipo Jijini hapa hapa ila baadhi ya Maeneo ndiyo mnara unasoma 4G.sijajua eneo lako mkuu, ila hakikisha una kifaa cha 4g chenye band 2600, kiwe na mimo x 2 na kiwe na angalau lte advance uta enjoy 4g ya halotel
Jamaa hawa huduma zao Mbovu saana, vijijini ndiyo kabisa.
Nilipo mimi nalazimika kutumia Vodacom