Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,717
Nimejaribu kuweka hiyo bando yao ya mb 800 bila kikomo ila nimetumia kama masaa 2 bila ku download chochote halafu nashangaa sms inakuja eti nimevuka kiwango cha matumizi. Sasa najiuliza hizo mb 800 zimeisha saa ngapi? Hivi nikimbilie wapi??? naombeni ushauri