Halotel na Wizi wa Data za wateja TCRA Fuatilieni

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,502
15,757
Wanachofanya mteja unapotaka kufungua image au video inazunguka inakata MB halafu haifunguki ukirudia inakata tena na haifunguki huu ni wizi wa Live mchana kweupe TCRA tunaomba mfuatilie na wapigwe Faini inayoumiza .
 
Haya makampuni ya simu wanakula na hao hao TCRA hawawezi kuwachukulia hatua .binafsi nineshahama zaidi ya kampuni 5 za mawasiliano mambo ni yaleyale.
 
Walikuwaga na ki promosheni chao kinaitwa Halowini humo kumejaa wizi mtupu.Hujuwi washindi wanatangazwa Redio ama tv gani yaan wizi wizi tu.
 
Walikuwaga na ki promosheni chao kinaitwa Halowini humo kumejaa wizi mtupu.Hujuwi washindi wanatangazwa Redio ama tv gani yaan wizi wizi tu.
Hiyo kampuni ujanja ujanja mwingi sijui kwanini TCRA wanashindwa kudhibiti uhuni kama huo.
 
Hawa jamaa ni mafala sana. Mchana wa leo nimejiunga na kirushi cha 51000 DSTV mpaka mida hii wananiambia malipo yako pending. Wangese sana hawa watu.
 
If you think any government is in power to help you the ordinary joe ,you're mistaken
 
Back
Top Bottom