Halotel mtakuja jutia kwa uamuzi mliochukua, mamia ya watu wanahama halotel

Acha unafki mkuu..
Voda Gani unayoiongelea.???

Hakuna mtandao wenye kasi ya uhakika ya internet kama Vodacom hapa Tanzania na ndiyo maana pamoja na mambo yao ya hovyo bado wao ndio wanawateja wengi kuliko mitandao yote kwa miaka yote hii..
Wateja wengi tz, umechapia mkuu, it is tigo
 
Airtel ndo mpango mzima
157df8056ebc0f5ed83808e8a547535f.jpg
Ewaaaa pamoja sana jembe, kumbe tuko team moja
Cc.white hat
 
Iyo ni University mkuu kwa tulio na lain wasio nazo ni taabu
mimi mbona sina laini ya chuo natumia laini ya kawaida na najiunga vifurushi vya university vizuri tu
Mkuu Samahani kidogo.. Kupata hiyo menu nadial namba gan?? Maana me Pia nna line ya University ila sijaona hiyo menu kwenye *149*99#
piga *149*81# chagua no.4 UNI mpya utaipata hiyo menu
 
Back
Top Bottom