Halotel mmekutwa na nini?

kyakakombo

Member
Jun 7, 2013
35
33
Ni karibu week ya pili mtandao wa Halotel unasumbua huku kanda ya Ziwa lakini hamtuambii nini tatizo.
Hebu tuambieni maana MB zetu mpaka zinaisha muda wake network hakuna ikija inakaa dakika kadha inapotea tena
Tunaomna mseme chochote ili tujue
 
Ukipata chance sogea pale costormer care round about maarufu samaki,,
Ni karibu week ya pili mtandao wa Halotel unasumbua huku kanda ya Ziwa lakini hamtuambii nini tatizo.
Hebu tuambieni maana MB zetu mpaka zinaisha muda wake network hakuna ikija inakaa dakika kadha inapotea tena
Tunaomna mseme chochote ili tujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio tu huko kwenu hata huku nyanda za juu kusini mtandao unazingua kuna mda unajaza bando linapotea bure inabidi wajitathimini yawezekana server zao zinazidiwa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom