Halotel Mmeanza kusua

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,747
Internet ya halloTell sasa pumzi yao imeanza pungua kwanza ilisifiwa saana hivi sasa pumzi yakasi yao imeshuka
Rudisheni pumzi mtakimbiwa
Usgauri wa bure
 
Walikua hawana wateja wengi, inaonekana wateja wameongezeka network imeanza kuwa slow.
 
Yan hii bongo mitandao yotw ni upuuz mtupu.. Tunatumia kwa kua tunashida tu za mawasiliano... Tigo utumbo kabisaaa, mtandao ambao hata whatsapp call haipigiki.. Eti kuna tatizo la ufundi ni mwez wa pili,najiandaa kuwahama miez miwil wanatengeneza? Cjui wantengeza whatsapp yao, vifurushi vinabadilika badilika bei, wizi wa pesa nje nje. Laza cm yako na salio asubuh umeliwa... Zantel ndo ctak hata kuwaskia... Voda gharama za mawasiliano zipo juu sana kuliko kwengine kote... Airtel kiuhalisia ni mtandao wa wanyonge pia wanajitahd kwenye internet yao.. Vifurush vyao vina dakika mingi na ina wigo mpana wa vifurush kwa gharama ndogo... Halotel wamekuja kwa mbwembwe naona wanaanza kufulia mapemaaaa..

Baba hamia airtel tu...
 
Internet ya halloTell sasa pumzi yao imeanza pungua kwanza ilisifiwa saana hivi sasa pumzi yakasi yao imeshuka
Rudisheni pumzi mtakimbiwa
Usgauri wa bure
Hawa watu nampango wakuwakimbia mana washaanza kuwa waswahili
 
Halotel walipoondoa kifurushi cha mwezi kwa wanachuo, nimefanya kampeni kubwa kuhamasisha wenzangu kuwakimbia, kiasi kikubwa nimefanikisha naendelea na kampeni hiyo
 
Halotel walipoondoa kifurushi cha mwezi kwa wanachuo, nimefanya kampeni kubwa kuhamasisha wenzangu kuwakimbia, kiasi kikubwa nimefanikisha naendelea na kampeni hiyo
Czani kama utafaulu sababu pamoja na kuondoa kifurushi cha mwez pia wamekiboresha kifuruchi cha wiki kwa kuongeza na dakika za kupiga mitandao yote na kuongeza mb tena kwa gharama ileile
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom