Halotel kwanini mmeondoa ofa za chuo?

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Halotel mkatuuzia line za chuo kwa bei kubwa lakini mnachotufanyia siyo kabisa

Inasikitisha mmeondoa vifurushi kimebaki cha jero kwa kile cha wiki

Tunaomba mturejeshee vifurushi kama zamani ,tulinunua line kwa bei kubwa mnooo
 
Mwenyewe nilinunua laini ya Tanzanite ya Halotel kwa bei kubwa naona wamenitolea ofa yao.. Najiandaa kutupa laini yao.
 
Tulieni s mlikuwa mnashangilia wakati tunatangaziwa tupo katika uchumi wa kati Sasa hvyo ndio vifurushi vya uchumi wa kati
 
Halotel mkatuuzia line za chuo kwa bei kubwa lakini mnachotufanyia siyo kabisa

Inasikitisha mmeondoa vifurushi kimebaki cha jero kwa kile cha wiki

Tunaomba mturejeshee vifurushi kama zamani ,tulinunua line kwa bei kubwa mnooo
peleka malamiko TCRA, ingi website ya TCRA tuma malalamiko
 
Mara ya mwisho ilikuwa GB10 kwa 10k, Sasa hivi ni GB9 kwa 10k. Usibishe tafadhali
We unacho bisha ni nini?
PicsArt_04-09-10.54.30.jpg
 
Back
Top Bottom