Halotel kuna tatizo?

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
6,078
10,380
Jamani nimeweka vocha ya shs 1000 kwenye simu, yaani vocha ya Halotel wakati nataka kujiunga na vifurushi naambiwa salio lako halitoshi.

Baadae ilibidi niangalie salio vizuri majibu ya salio ni kuwa ndugu mteja una shilingi 800 leo nimenunua vocha ya shs 500 nataka kujiunga naambiwa salio lako ni shs 369.

Jamani wadau wa Halotel hii hali ni kwangu mimi tu au kuna tatizo mahali? Nilijaribu kuwapigia huduma kwa wateja simu imeita mpaka inakata.
 
KUNA MAWILI
1)WANAKUIBIA
2)WAKATI UNAWEKA SALIO DATA IKO ON SO INAKULA ULE MDA WAKUANDIKA REQ WANALAMBA CHAOO
UKIWEKA SALIO SIKUZOTE WEKA DATA OFF
 
Pole sana...

Hiyo hutokea pale unapoweka vocha huku data yako ikiwa on, na kuna vitu vilikua pending waiting for data...

Next time make sure unazima data...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom