Halotel Headquarter kwanini mnasumbua vijana wasaka ajira !

majuto mperungu

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
394
116
Wadau kwa anaeelewa kwanin wahusika apo juu wanatangaza kaz eg. compliance officer kila mara na kuwaita vijana kwenye interview hata mara nne halafu hawawapi kazi. Kwanin wanafanya hivi? Kwanin wanapoteza Muda na nauli za vijana bure!
 
Hivi bado unasumbuka na hao wa vetnam dawa yao Rambo tu ajira wanazotoa haraka labda ukitaka kujiunga jeshi lao
 
Hapana kuna kijana mwenzangu kanisimulia apa wamemwita interview nne na zote kafaulu ila hawakumpa kazi ..ili hali kwenye interview ya tatu walikua sita na waliwahaid watawachukua wawil watakaofaulu cha kushangaza wakafaulu wawil na wakatakiwa kufanya interview ya tatu ambayo iko sawa na ya kwanza.
Mwisho wa siku hawakuwaita tena baada ya interview ya tatu.
Walichokifanya ni kutangaza upya tena na kuanza uchafu wao wa kuwasumbua vijana wengine
 
hiyo sio fair labda walipanga watu wao mkuu...walitangaza tu kama ushahidi...ila kusumbua watu siungi mkono hoja
 
Bora wangekua wamepanga watu wao wakapewa kazi.. Kinachosikitisha zaidi ni wanatangaza hiyo nafasi kila mara na kuita vijana halafu hawaajir. Kuna mchezo wanaofanya sio bure
 
Mambo ya ajabu hayo na ya kipuuzi sasa na sijui wanataka wagundue nini
 
Niliomba post ya sales officer, nikapigiwa simu for an interview but sikuweza ku attend maana nilikua mkoani, baadae nilivyofuatilia kwa baadhi ya jamaa zangu wakasema bora sikupoteza nauli yangu maana ile post ina mtu tayari.
 
Back
Top Bottom