Habari zene waungwana habari za masiku kibao natumai wote jana tulikwenda katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani na pia tulipima afya zetu. Kwa wale wenye maambukizo msijali ni sehemu ya maisha kwani kuishi na virusi sio neno kama utajitambua na kutunza afya yako. Kwa wale wasiokuwa na maambukizo jihadharini na mtunze afya zenu kwani ni zawadi kutoka kwa muumba. Pamoja na yote ninawamiss sana kwani kwa muda sasa nimekuwa na majukumu ya ujenzi wa taifa, lakini cha zaidi nilikuwa nimefichwa kwani huyu baba sasa hataki kunusa chupi tuu anataka na kwapa hivyo kutumia muda mwingi kuwa nae. Leo nashukuru amesafiri hivyo nikaona niwe nanyi.