Mbekenyero5
Member
- Apr 2, 2015
- 93
- 14
Ikungi, mkalama,Singida dc,Manyoni ,iramba,municipal kuna ufisadi na ubwanyenye balaaa
Hii taarifa iko too general!Ikungi, mkalama,Singida dc,Manyoni ,iramba,municipal kuna ufisadi na ubwanyenye balaaa
Too general!
majipu ni wakuu wa idara ama wakurugunzi?
majipu ni idara ya fedha?
ni maafisa ugavi?
funguka
singida dc mi nilikimbia baada ya kuona ubwanyenye mwiiiiiingi. Naangalia mambo mengine
We hata kazi hujaanza unaanza kulalamika, hebu kafanye kazi. Na simu hizi ndani ya mwezi au miezi miwili mshahara unaanza kuingia wkt kipindi cha nyuma watu walikuwa wanapiga miezi Sita na zaidi. Ushaambiwa we ni mtumishi wa umma sio mfanyakazi. Utii kwa serikali ndo msingi mkubwa. Vitu vidogo umeshaanza kutangaza jf, nyambafuuuuKwa experience yangu majipu pale ni kwanzia wakuu wa idara hasa SINGIDA DC
Wanajikuta ni miungu watu wanawanyanyasa watumishi wenzao kisa ni wakuu
Yule O.S kafanya muda mrefu keshaona ofisi ni mali yake
Maafisa watumishi
Ni tatizo WANAOENDA KURIPOTI pale wanawatesa sana
Hasa ukijifanya una njaa sjui unaomba pesa za kujikimu ambayo ni haki yako kama mtumishi LAKIN UNAKUTA WANAKUSHANGAA KAMA VILE ILE PESA WANATOA MIFUKONI MWAO
Unakuta watumishi wametumia pesa zao ila wakifika hawapewi hiyo pesa wanaambiwa subirini mishahara iingie
Hapo watumishi wanarudi makwao wakitumia gharama zao na hawapewi pesa zao hizo walizotumia
KWAKUA NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI NDUGU JAFFO NI KAJANA AJITAHIDI AENDE PALE
NA PIA kwakua ANGELA KAIRUKI NI KIJANA AFIKE PALE
PIA KWAKUA
MH RAIS TAMISEMI IPO CHINI YAKE
ALIANGALIE HILI
WALIMU SINGIDA DC kupandishwa madaraja ni kazi sana mtu unasotea muda mrefu sana sana
Sitaki hata kazi za hivyo bora niendelee. Na kuuza mitumba zangu hapa karume.We hata kazi hujaanza unaanza kulalamika, hebu kafanye kazi. Na simu hizi ndani ya mwezi au miezi miwili mshahara unaanza kuingia wkt kipindi cha nyuma watu walikuwa wanapiga miezi Sita na zaidi. Ushaambiwa we ni mtumishi wa umma sio mfanyakazi. Utii kwa serikali ndo msingi mkubwa. Vitu vidogo umeshaanza kutangaza jf, nyambafuuuu