HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA LIPENI HAWA WAFANYAKAZI

mandago shululu

Senior Member
Mar 24, 2013
125
36
Wafanyakazi wote wanaofanya usafi wa mji ikiwemo maeneo ya Hospital,Halmashauri na maeneo mengine ya mji,hawajalipwa mshahara sasa ni mwezi wa tatu.

Viongozi wanaohusika tunawaomba muone huruma kwa hawa watu kwani ni watu muhimu sana katika kuweka mazingira safi.

Mh,Mandago.
 
Back
Top Bottom