mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,163
- 787
Kusubirri sio jambo baya siku zote
Ni kwamba mpaka leo hii niandikapo huu uzi mishahara bado Halmashauri nzima, watumishi wanaombaomba
Mkuu kama unapitia hapa piga fyagio kila secta ya wilaya ya Bagamoyo
hovyo kabisa
Hela isipotoka leo sijui itakuwaje? J.K, come to our rescue.
Jamani Dt maana yake nini,wilaya ya bagamoyo ni ya ajabu sana,mtwara mshahara umefika,bagamoyo cjui wanafanya nini uzembe tuu,walimu bagamoyo tunakufaa njaaaa,mkuu wa kaya hamnazo kbsa mana wziri plus mkuu wote wa bwagamoyo iweje mishahara ichelewe kiasi hiki?
si hamtaki gesi itoke hata kwa bomba la kalamu.