Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo inamkomoa Rais Kikwete katu si wananchi

Jamani mnatuua njaa, kwani hizo hela we midasi na wenzio mnafanyia nini? Acheni ukauzu.
 
Ni kwamba mpaka leo hii niandikapo huu uzi mishahara bado Halmashauri nzima, watumishi wanaombaomba

Mkuu kama unapitia hapa piga fyagio kila secta ya wilaya ya Bagamoyo

hovyo kabisa

Pesa imaanda kuhonga kina mwampamba na kusomba watu wajae kwenye mikutano ya CCM!
 
ni Local Goverment Authority ........... ukifikiria maana ya local upati shida na matukio ya taasisi kama hizo.
 
Ukifa njaa ni Uzembe wako.

Jarbu kujiwekea akiba just incase.
 
Jamani Dt maana yake nini,wilaya ya bagamoyo ni ya ajabu sana,mtwara mshahara umefika,bagamoyo cjui wanafanya nini uzembe tuu,walimu bagamoyo tunakufaa njaaaa,mkuu wa kaya hamnazo kbsa mana wziri plus mkuu wote wa bwagamoyo iweje mishahara ichelewe kiasi hiki?
 
Si Bagamoyo tu mkuu! Magu pia hawajapata.Source My wife ni mtumishi hapo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Heri magu,hapa tatizo ni uzembe kila wakati,wanakera sana bwagamoyo,wamefanya mambo ya uzembe na watu wamejua.
 
kigoma ujiji nako kama bwagamoyo tu pay zote wanajilia akina kinana,nape,nchemba,mtela na shonza. Tutataabika sana mpaka Obama aje na watu 700 mshahara utakuwa mwezi wa 12
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom