chuchumeta3
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 237
- 87
Mahakama wilaya ya Tunduru leo imeitaka halmashauri ya wilaya ya Tunduru kuilipa kampuni ya state business tsh448milioni ,kwa kufunja mkataba (bleach of contract). Pia kulipa gharama za kesi.Na wakishindwa kulipa kwa muda uliopangwa watatozwa riba 21%.state business ilikuwa Na mkataba wa kukusnya ushuru.walikamata risiti yenye thamani 200,000/-ambayo ilikatwa Na halmashauri kinyume cha mkataba.