Halmashauri ya kinondon yatafutna milion 10 ,kiwanja cha marehemu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halmashauri ya kinondon yatafutna milion 10 ,kiwanja cha marehemu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 21, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,414
  Likes Received: 5,684
  Trophy Points: 280
  Ktk hali isiyokuwa ya kawaida diwan mmoja wa kimara akishirikiana na weneyekiti wa vijiji wamewaumbua wakubwa wa manispaa ya kinondon pale walipoambiwa kuna million kumi zilitolewa kwa ajili ya kiwanja cha zimamoto pale kilingule
  Walipofwatilia sana ndipo wakaenda diwan na wakubwa wa manispaa ni aibu ilioje wakafika wakaanza kudai eneo hili lilipiwa sh mil 10..kwa ajili ya kujenga jengo la zaimamoto..ndipo mwenyekiti wa kiijiiji akaja na kueleza ukwkwamba walikuja wakataka kumwondoa babu mmoja bila sent mwisho wakataka kulzaimisha familia iwape wailipe million 3 na ukweli halisi mpaka yule babau anakufa akuchukua ata senti yao moa..kilingule iliwaka moto pale wakubwa walipodai mwenye hiko kiwanja ni kijana na tunamfahamu ndipo wakaletewa makaratasi ya kiwanja nna kuishia tutafwatilia udanganyifu huu

  Kweli kikwete kirahsi manispaa zinakula hivi loh wacha niru

  burundi
   
 2. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kumbe we mrundi unaishi nchini kinyemela tu
   
Loading...