Halmashauri ya Ifakara yakanusha taarifa ya Mkurugenzi kuchapana makonde na Diwani

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,257
2,000
Sasa habari ziliandikwa kwenye Gazeti la Uhuru sijui ni gazeti jipya hilo halijulikani kabisa ya nini kukanusha maana tulikuwa hatufahamu hiyo habari kabisa... sasa ndio tumetambua Walichapana... sasa nani alishinda hizo sparing
 

Ihoyelo

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
288
250
Hivi habari inayoandikwa na hilo gazeti inaminika maana waandishi wake hata siku moja hawafanani na waandishi wenzao siku ukikuta heading zinafanana na magazeti mengine ujue mwenyekiti kiti wao kamtumbua mtu vinginevyo habari zao nyingi ni za vijiweni
 

WILLIAM MARCONI

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
2,056
2,000
Anakanusha nini gazeti liliandika nini. Gazeti la Uhuru ni makini na ni kongwe lina maadili ya uandishi so haya ya matukio na uchochezi. Walichapana nakonde kikao kikaahirishwa. Huyu anasema palitokea vurugu kikao kikaahirishwa. Huyu nakba hata hajui Kiswahili. Lakini bado hata hili anapata sapoti kwamba eti gazeto halijulikani, sasa wewe unajiona una akili kuliko mlalamikaji na kuliko wasomaji wa Uhuru na JF. Ipo shida kwelikweli.
 

Ihoyelo

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
288
250
Wasomaji wa gazeti la uhuru unawajua wewe nenda asubuhi wanaporejesha magazeti Msimbazi uone mizigo ya magazeti ya uhuru inavyorejeshwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom