Halmashauri Tarime yakataa service levy ya Acacia

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,370
3,956
Halmashauri hiyo imekataa malipo hayo ya miezi 6 iliyopita kwa kigezo kua wanataka kwanza wapitie hesabu za mgodi huo na wakokotoe wenyewe tozo hiyo na sio kuletewa tu cheque yenye malipo(1.4 bn/=).

Ilifikia hatua mgodi huo unatumbukiza malipo hayo kwenye account ya Halmashauri bila mawasiliano yoyote.Mmoja wa wajumbe wa Halmshauri wamesema huo sio msaada toka kwa mgodi huo bali ni wajibu wao kufanya hivo na sheria zipo zinazowataka walipe 0.3% ya turnovern zao kama service levy kwa halmshauri husika.

Meneja wa mgodi alikubaliana na maagizo hayo na kusema wanaenda kuandaa taarifa hizo,mwanasheria wao nao kasema kama halmshauri hawataridhika nazo inabidi waende TRA kujihakikishia.

=================

Tarime. Tarime District Council yesterday rejected Sh1.06 billion paid as service levy by Acacia’s North Mara Gold Mine, saying it first wanted to verify the firm’s accounts.

Drama ensued when Mara Gold Mine general manager Gary Chapman arrived to present a cheque for the sum to the council.

District Executive Director Athuman Akalama had just finished introducing officials who were present when council chairman Moses Misiwa stood up and demanded that the Mara Gold Mine management present the firm’s accounts first, with the turnover clearly indicated, “so that we can calculate the service levy ourselves”.

Mr Chapman said they did not come with the relevant account documents, and promised they would send them to the council at a later date.

This prompted Mr Misiwa to call the function off, saying the council would only accept the cheque after reviewing the miner’s accounts.

“This is not charity from Acacia. It is a legal requirement they have to fulfil, so we want to be sure that the amount they are giving us is the correct one,” Mr Misiwa later told reporters.

The amount, which is supposed to be 0.3 per cent of the mining firm’s turnover, was service levy for six months from July to December, last year.

Mr Chapman told reporters that the management had no problem with the council’s request, adding that they needed time to compile data that clearly indicated the turnover during the period. “We will give the district council the documents for review and if they are not satisfied they can go to the Tanzania Revenue Authority for more clarification,” he said.

Mr Misiwa said they were fed up with being taken for granted by the mine’s management, which, he added, had the habit of depositing money in the council’s account without consultations.

“This is why we have decided to have an official presentation function, where any queries can be raised.”

Mr Misiwa said the mine’s management was required to involve council representatives in the handing over of service levy since there were documents that were required to be signed by council officials.

“This money is for the development of the people. The district’s full council needs to be fully involved, not just a few officials,” he added. Mr Misiwa called for transparency on the part of the mining firm and pay the council what it deserves.

The service levy used to be flat rate of $200,000 as stipulated by the Mining Act, 1997, but was later raised to 0.3 per cent of turnover.

How councils spend service levy has for a number of years been a contentious issue, with allegations of misappropriation and outright theft being levelled against top council officials.

Chanzo: The Citizen
 

Attachments

  • 1453797700600.jpg
    1453797700600.jpg
    24.4 KB · Views: 42
Halmashauri hiyo imekataa malipo hayo ya miezi 6 iliyopita kwa kigezo kua wanataka kwanza wapitie hesabu za mgodi huo na wakokotoe wenyewe tozo hiyo na sio kuletewa tu cheque yenye malipo(1.4 bn/=).

Ilifikia hatua mgodi huo unatumbukiza malipo hayo kwenye account ya Halmashauri bila mawasiliano yoyote.Mmoja wa wajumbe wa Halmshauri wamesema huo sio msaada toka kwa mgodi huo bali ni wajibu wao kufanya hivo na sheria zipo zinazowataka walipe 0.3% ya turnovern zao kama service levy kwa halmshauri husika.

Meneja wa mgodi alikubaliana na maagizo hayo na kusema wanaenda kuandaa taarifa hizo,mwanasheria wao nao kasema kama halmshauri hawataridhika nazo inabidi waende TRA kujihakikishia.

Council rejects Sh1 billion Acacia pay


Wanajielewa kina Mura na laiti Tz sehemu kubwa ingekuwa kama hawa jamaa tusingeweza kuibiwa na kina nyoka wa makengexa ktk mikataba mibovu ya miaka 100
 
Wanajielewa kina Mura na laiti Tz sehemu kubwa ingekuwa kama hawa jamaa tusingeweza kuibiwa na kina nyoka wa makengexa ktk mikataba mibovu ya miaka 100


Hakuna cha Mura wa nini bali ni mawimbi ya Uongozi na Utawala Mpya, kwani hao akina Mura hawakuwepo siku zote ambazo hiyo Kampuni imekuwa ikifanya hivyo?
 
Wanajielewa kina Mura na laiti Tz sehemu kubwa ingekuwa kama hawa jamaa tusingeweza kuibiwa na kina nyoka wa makengexa ktk mikataba mibovu ya miaka 100
Hao watakuja kulainishwa tu na hutosikia tena kelele zao,unachezea dolari wewe!
 
Hao watakuja kulainishwa tu na hutosikia tena kelele zao,unachezea dolari wewe!


Mimi bado nawaambia hao wanjielewa tuna migodi Geita,Kahama, Tarime, Nzega iliyokwisha fungwa, Tulawaka biharamulo etc. Uliza ni sehemu gani wananchi wamepata fidia ya angalau kama si Tarime
 
0.3% dah hii kejeli au matusi? hivi kulikuwa na lazima wayachimbe hayo madini?
 
Wanastahili pongezi kwani kuanza moja si ujinga hao wanaosema walikuwa wapi kwangu sidhani kama ni sahihi.
 
Kw vile ni haki yao kupata na sio msaada wana haki kweli ya kukataa mpka pale itakapothibitishwa kuwa wanachopewa ni sahihi kulingana na kile mwekezaji kapata kwa kipindi hicho kwani nijuavyo mimi inatakiwa iwe 0.03% ya mapato ghafi ya mwekezaji
 
Back
Top Bottom