Halmashauri Kuu ya CCM kukutana Desemba 18, 2021

Political Jurist

Senior Member
Sep 6, 2021
119
104
TAARIFA KWA UMMA

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu Hassan.

Kikao hicho kitatanguliwa na vikao vya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuanzia Desemba 15, 2021.

Vikao vyote ni vya kawaida kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la Mwaka 2020 ibara ya 108 (2). Ambavyo vitafanyika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Jijini Dodoma ambapo maandalizi ya vikao hivyo yamekamilika.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

SHAKA HAMDU SHAKA
KATIBU WA HALMASHAURI KUU
YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI.
14 DESEMBA, 2021.
255752651129_status_IMG-20211214-WA0479.jpg
 
14 DESEMBA, 2021.View attachment 2044168
Yaani Mheshimiwa rais Mama Samia Suluhu Hassan yupo vizuri mno.

Mungu mbariki Rais wetu Mungu ibariki Tanzania
 
Itampongeza Samia kwa kukopa Sana na kumshitaki Mbowe kwa kesi ya ugaidi.
 
Yaani Mheshimiwa rais Mama Samia Suluhu Hassan yupo vizuri mno.

Mungu mbariki Rais wetu Mungu ibariki Tanzania

Dakatari wa Samia amshauri apunguze uzito; kwa maradhi yanayozunguka zunguka nchini mwetu OBESITY sio mtaji mzuri!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom