Halimashauri ya jiji la mwanza yafanya kazi nzuri ila wanakiuka haki binadamu.

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,049
2,000
Heshima kwenu wakuu.
wamesafisha mji,machinga wote wametolewa kasoro wa makoroboi.
cha kushangaza kuna dogo wamemchukua na kuvunja simu yake kisa anawapiga picha mgambo wa jiji na wamempeleka kwenye mahakama yao pale ghandi hall.inaruhusiwa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom