Halima Mdee: Wakati sisi tuliahidi elimu bure mpaka Chuo Kikuu, CCM na Magufuli hawaamini katika elimu bila ubaguzi

mh. halima yuko sahihi.kwa mfano bodi ya mikopo inasema inapanga kutoa mikopo mpaka diploma ilihali vyuo vikuu bado wengi hawajapatiwa mikopo kabisa.....
 
Usihamishe magoli,

Hapa tunajadili hoja ya elimu na ubaguzi wa mikopo ambayo inawahusu wananchi moja kwa moja hasa form six wanaotarajia kujiunga na chuo mwaka huu,

Hayo mengine ni ya kwako utajua wewe na chama chako,

Jikite kwenye hoja
Niambie ni mahali gani mkopo unatolewa bila vigezo..yaani utolewe tu kwa kila anayetaka..ila kwenu ninyi vigezo na masharti mnaita ubaguzi..poleni sana..
 
Kulijadili JIWE ni kupoteza nguvu na muda tu , failure-man should not be discussed.

tapatalk_1521266737314.jpg
 
mh. halima yuko sahihi.kwa mfano bodi ya mikopo inasema inapanga kutoa mikopo mpaka diploma ilihali vyuo vikuu bado wengi hawajapatiwa mikopo kabisa.....
Nafikiri kuna mtoto wa kigogo anatarajia kusoma diploma! Maana sioni sababu ya msingi kutanua wa kupata mkopo wakati walengwa wa awali wanatafutiwa sababu kuwaengua!
 
Halima Mdee acha ujinga hakuna mkopo duniani usio wa kibaguzi....vigezo na masharti ndio huwabagua watu....
Hakuna anaye weza kutoa elimu bure chuo kikuu
Masharti mengine ni ya kijinga na ndiyo hayo yanayosemwa, elimu bure mpaka chuo kikuu inawezekana siku za nyuma ilishatokea hivyo kuanzia shule za awali mpaka chuo kikuu.

Ambapo gharama za mzazi ilikuwa ni kununua sare za mtoto na kumpeleka shule.

Mambo mengine kama madaftari na mahitaji mengine ya shule ikiwa ni pamoja na chakula ilikuwa ni hukohuko shuleni na waranti ya kusafiria juu,kwa wale wa shule za bweni pamoja na hela ya kula njiani unapewa.

Na hata Hawa wanaojifanya kuifahamu hela zaidi ya elimu walisoma kwa mtindo Kama huu.
 
Wewe siasa zako ni za kebehi, and the most uninteligent thoughts.

Ndugu Stakabadhi ya mshahara, Elimu Bure inaendelea na hii serekali ya awamu ya 5 is doing its level best, we have come a very long way, Education was destroyed during the 70s , when suddenly and un prepared we changed everything, Swahili language which was very easy subject, became the most difficult one.

Bado kuna matatizo madogo madogo ya hapa na pale, tatizo kubwa katika elimu yetu ni Wanasiasa, tena wa pande zote, badala ya kukiendeleza , kulisimamia, kulireke isha kwa pamoja na kwa dhati na ari ya ukweli, wao wameamua hili litakuwa Jukwa la siasa na kupondana kama unavuofanya wewe hapa.

Haiwezekani elimu ya watoto wetu na vizazi vijavyo kuwa ni mchezo wa wabunge wabovu kama kina Halima Mdee, wasiojuwa maana ya watoto, na ambao kwa maisha anayoyaishi SIDHANI kama ataweza kuwa mzazi labda aa Adopt kama LBGT wenzake walioruhusiwa huko ulaya na umarekani. Hatuwezi kumuamini na elimu ya watoto wetu.

Please be serious. Kila Mtanzania anao mchango kwenye mjadala huu kuhusu elimu ya watoto. Tena inashangaza kuwa, of all the politicians, uliyemwona kuwa mbovu kiasi cha kutokuwa na mchango kwenye kuboresha elimu ya watoto wetu ni Halima! I am sure you are not serious au labda unayo chuki binafsi. Tena unamtukana kwa kumwita LBGT kwa sababu tu hajaolewa? Sijui akili hizi za chuki na kibaguzi huwa zinatoka wapi. Very primitive indeed! Yaani mtu asipooa au kuelewa basi anakuwa mtu duni asiyekuwa na mawazo mazuri kwenye jamii? Hakika, owing to your inferiority complex and a feeling of insecurity, some of you people are going to destroy this once great country.
 
Halima!!!!!!!

Mngekuwa mna uwezo huo MSINGEKUWA MMEPANGA HQ YENU KWENYE MAKUTI HADI LEO PALE UFIPA

Hahahahha
Just Kidding men

Namaanisha ile chain ya kuipiga nchi ilikatiwa patamuu
Wasted sperm unaacha kujadili mada unaleta habari za gwanda na gamba agrrr
 
Hivi inakuaje tunavuka viwango vya ukusanyaji wa mapato (kuliko awamu yoyote ile ya urais tangu kuumbwa Tanzania) na hapo hapo tunashindwa kuwasomesha wanafunzi wetu kwa mkopo kiasi cha kuwabagua!
 
Please be serious. Kila Mtanzania anao mchango kwenye mjadala huu kuhusu elimu ya watoto. Tena inashangaza kuwa, of all the politicians, uliyemwona kuwa mbovu kiasi cha kutokuwa na mchango kwenye kuboresha elimu ya watoto wetu ni Halima! I am sure you are not serious au labda unayo chuki binafsi. Tena unamtukana kwa kumwita LBGT kwa sababu tu hajaolewa? Sijui akili hizi za chuki na kibaguzi huwa zinatoka wapi. Very primitive indeed! Yaani mtu asipooa au kuelewa basi anakuwa mtu duni asiyekuwa na mawazo mazuri kwenye jamii? Hakika, owing to your inferiority complex and a feeling of insecurity, some of you people are going to destroy this once great country.
Thank you for your valued comments, i sincerely commend your support for Halima on this issue, however you should also have the fairness to try and understand where am coming from. If you believe i have inferiority complexes that is your prerogative to do so, but i believe you have to know a person much better to be able to know his state of mind.

On the issue of Halimas sexual preferences is a common thing that she projects and is proud to show, which for us as Tanzanians or Africans is a taboo, i am sure that it doesnt go well with many people of african origin, there are those few ones , maybe like yourself who may find it ok. Moral responsibility is a must in our society and LBGT is not part of the morals in our society.

Leaders have to live by examples.
 
Back
Top Bottom