Halima Mdee upo wapi? Wapambanaji tunakumiss

Mwenzako anaongelea pesa, wewe unasema umaarufu.

Umaarufu ndio unaleta chakula mezani ?

Kwanza wanaojiita makamanda ni nyumbu, baada ya 2025 huyo Mdee akihamia kwao bado watamuona shujaa.

Kabisa mkuu, hawa watarudi chadema na haohao makamanda watakatia viuone kuwasherekea
 
Back
Top Bottom