Halima Mdee: Naona aibu Prof. Kabudi kuwa mwalimu wangu

Pole kwa kufundishwa na Aliyekutangulia kuzaliwa tu.
Akili na uwezo ukamzidi.
Kuwa ccm tu ni dhambi tayari.
 
Ina maana mheshimiwa Kabudi nae haoni aibu kuwa na mwanafunzi aina ya Halima Mdee anayetukana hovyo mbele ya kadamnasi tena mara nyingi wakiwepo watu wanaomzidi umri?. Hii inaweza ikawa ni two ways sio one way.
Nchi inajengwa na mwananchi.
Akili yako ndogo ila umeelewa.
 
Hivi anayekudai asipojua kuwa umepata pesa na na deni limeisha? Kabudi kwakweli kachemsha. Yaani zilipwe kwa siri kisha ziliwe kwa siri kama Esrow, EPA na nyinginezo nyingi
Kwahiyo hizo fedha hazitakuwa documented ktk kitabu cha mapato...
 
Kama tungekuwa na misimamo hiyo tunayojidai kuionyesha kwa wengine leo chadema wangekuwa hawakatizi hata barabarani..kama kuna aibu chadema walitutia ni kumfanya lowasa mgombea urais..maana tuliokuwa wanachadema kindakindaki enzi hizo ilibidi tufiche nyuso zetu mitaani..kwa hiyo hilo dume jike halina jipya..labda liseme linaona aibu kumuita mbowe mwenyekiti wake.
Sasa mbowe, lowasa, kuhusu Acacia na madeni ya nchi wanakujaje??..
We nae wazazi wakashona unform uende shule.
 
Ni haki yake kuona aibu. Hata mimi huyu Karamaganda Kabundi niliyemtegemea siyo huyu. Amekuwa mtupu kichwani kuliko alivokuwa kabla hajaupata huo uwaziri
Kweli kabisa, yaani ukigundua mwanafunzi wako ni msagaji then wewe ulikuwa mwl wake ni aibu kweli kujitambulisha ni mwl wake.
 
Ni haki yake kuona aibu. Hata mimi huyu Karamaganda Kabundi niliyemtegemea siyo huyu. Amekuwa mtupu kichwani kuliko alivokuwa kabla hajaupata huo uwaziri
Kama jina tu umekosea nawasi wasi juu ya ulichokiandika ama umejibu tu uonekane unajua kitu kumbe hujui au hata kumjua unayemwambia humjui..... Pengne kuna mwngne unayemjua syo uliyemwandika Ndo maana kuna Taratibu za kuandika majina ya watu nk..... Kwahyo hapa sioni hoja
 
Hata mitume wakubwa kama vile Muhamad, Yesu wakifufuka leo wakaajiriwa na ccm weledi wao utaporomoka na dini za ukristu na uislam zitakufa! Lakini mwov shetani akipiga kazi na ccm cv yake ya asili itaongezeka. Sasa ukiona Prof, Dr. Kaajiriwa na ccm basi ni sawa na degree holder aliejiunga na panya road sasa uctegemee degree yake kufanya maana kichwa hakitatumika kufikiri isipokuwa ile ogan inayofahamika kwa jina la "ant log of mouth"
 
Hongera sana mdee. Matapeli wanaowafundisha vijana wetu wamejianika hadharani. Fungueni hayo magereza ni laana Kwa mungu. Kumbe maaskari wanaonea watanzania. Duuuuu.
 
Halima Mdee ndie aone aibu hakusoma akaelewa alichofundishwa Na professor Kabudi swala la hela ziko wapi alitakiwa amuulize wazuri wa fedha sio professor Kabudi wazuri wa sheria
Utaacha ujinga lini? Nani alimuuliza Kabudi? Kabudi ndio katoa Maelezo yaliyo zua swali na bahati mbaya kajikuta katoa maelezo ambayo hakupaswa kutoa yeye!
Wakati mwingine jitahidi kuandika kama binadamu anayefikiri badala ya kufanya dhana iliyojengeka kuwa wewe na baadhi humu ni robots zilizo kuwa programmed kutetea hivyo huwa hamna nafasi ya kujihoji
 
Jiwe ni mwanasiasa na mtendaji wa kiwango cha juu sana. Halima angekuwa mjanja asingekuwa chini ya DJ na ujanja wake.
Vitu vingine mnaimbishwa kama kasuku tuu, DJ DJ!
Huyo DJ umsemaye baba yenu jiwe kamvulia kofia, sio PM wala waziri au kiongozi yeyote ambaye anaweza kuendelea kunywa chai akisikia Mbowe anaongea! Wote ni attention tuu.
Sasa nyie msio na hata anuani ndio mnaimbishwa Mbowe, Mbowe na kama mazuzu mnaitikia kwa nguvu kiitikio huku walio watuma wako pembeni uzwazwa wamewaachia
 
Ccm itikadi yake kuu ni kuwa muongo mnafiki na mzandiki....Kitila, Kabudi, Bashiru na wengineo yaani kwa Sasa wamekuwa ni vituko Hawa wasomi....
 
Back
Top Bottom