Halima Mdee na wenzako bado milango iko wazi, ‘msinyee kambi’

Ndio wamefukuzwa sasa hata masaa 12 hayafika, watubu.
Mkuu kwa hali ya sasa ndani ya chadema kuwafukuza bawacha19 ni sawa na mwanaume anaishi na mwanamke mrembo na makini miaka20 ndani ya nyumba halafu ghafla anaamu kumfukuza na kumrushia vitu nje, huku kukiwa na wanaume Wengine10 wanaomtaka watangaze ndoa kabisa.

Hashim Rungwe akiwapata namuona mbali 2025
 
Bahati mbaya Sana sijibugi maswali mepesi Kama haya,samahani sana
Mbona unachangia hoja nyepes Sana na za kupoteza muda Kama hizi za upuuzi wa chama hewa ,kuonekana hujib maswali mepes nilitegemea majukwa ya kelele haya usionekane hapa chiziii
 
Chadema ni chama cha hovyo hawajawahi tokea chini ya jua.
Mipango yenu ya hovyo inawagharimu sana.

Mlipokimbia bunge kipindi cha Corona mlitaka kuona wabunge wa CCM wakifyekwa na Corona lakini haikukutokea .wabunge wa chadema waliyobaki mule mkawafukuza .maamzi ya hovyo,kidikteta ,kizandiki haijawahi tokea.

Jana you have done the same.mnajifariji kwamba uchaguzi utarudiwa kwa kupewa hela na wafiraji.
 
Mkuu kwa hali ya sasa ndani ya chadema kuwafukuza bawacha19 ni sawa na mwanaume anaishi na mwanamke mrembo na makini miaka20 ndani ya nyumba halafu ghafla anaamu kumfukuza na kumrushia vitu nje, huku kukiwa na wanaume Wengine10 wanaomtaka watangaze ndoa kabisa.

Hashim Rungwe akiwapata namuona mbali 2025
Mkuu mama d nimeota unajiunga na chadema karibu sana
 
Ok mkuu mama d, wewe ni mpambanaji, binafsi Hapa Jamvin nakuona Kama mwanamama unaejitambua, kuwa huko ni kwa bahati mbaya,rejea chadema mkuu,chama Makin na chama Cha mihoyo ya WATANZANIA mkuu
Chadema niliwaelewa sana ila kitendo walichofanya kwenye nafasi ya urais 2015 kiliwaharibia kabisa
 
Siasa sio kama shule ya msingi kwamba unachapwa na kuambiwa uombe radhi. Mwanasiasa dhahifu tu ndio ataomba radhi baada ya kufukuzwa. Ukitaka uanasiasa wako ufe basi omba radhi baada ya kufukuzwa chama. Hapa pigia mstari neno KUFUKUZWA CHAMA. Ni wajinga tu wataendelea kung'ang'ania chama KILICHOWAFUKUZA, na huo utakuwa mwisho wa siasa zao ukiachia mbali huru wao na kukubalika kwao ndani ya chama walichofukuzwa.
Mbona wapo wengi tu wanasiasa walioomba radhi, hata huko CCM wapo kina Nape, kina January kina Makamba kina Sophia Simba nk.
 
Mkuu kwa hali ya sasa ndani ya chadema kuwafukuza bawacha19 ni sawa na mwanaume anaishi na mwanamke mrembo na makini miaka20 ndani ya nyumba halafu ghafla anaamu kumfukuza na kumrushia vitu nje, huku kukiwa na wanaume Wengine10 wanaomtaka watangaze ndoa kabisa.

Hashim Rungwe akiwapata namuona mbali 2025
Hao wanaume 10 wanaomtaka huenda ndio waliompa kibri ngoja wamuoe wakae naye wayaone mapungufu yake.
 
Mbona wapo wengi tu wanasiasa walioomba radhi, hata huko CCM wapo kina Nape, kina January kina Makamba kina Sophia Simba nk.

Kati ya hao nani anavuma leo hii na kuishi bila woga? Nani kati yao anaweza kusimama akasema na kuheshimika? Nape aliyekimbia na kura zilizobeba maamuzi ya wananchi? Kinana au Makamba waliokaa kimya huku wakiacha mtu moja avunje kila msingi wa katiba ya nchi?
 
“Kwa mwanasiasa kuna wakati unaweza kupata ajali ya kisiasa. Njia bora na sahihi ni kuomba Msamaha kama kuna mahali umekosea. Kuomba msamaha sio udhaifu, ni kuonyesha Kuwa wewe ni binadamu unaweza kukosea. Kwa kawaida watu dhaifu huwa hawaombi msamaha.” - MsigwaPeter
 
Siasa sio kama shule ya msingi kwamba unachapwa na kuambiwa uombe radhi. Mwanasiasa dhahifu tu ndio ataomba radhi baada ya kufukuzwa. Ukitaka uanasiasa wako ufe basi omba radhi baada ya kufukuzwa chama. Hapa pigia mstari neno KUFUKUZWA CHAMA. Ni wajinga tu wataendelea kung'ang'ania chama KILICHOWAFUKUZA, na huo utakuwa mwisho wa siasa zao ukiachia mbali huru wao na kukubalika kwao ndani ya chama walichofukuzwa.
Mbona Kafulila aliomba radhi NCCR na akapaa kisiasa tokea hapo. So sio udhaifu kuomba radhi bali kujirudi tu na kutambua kosa.
 
Labda watateuliwa uDC, hatujui, but I can speculate that this is the most likely gateway to them
Wateuliwe u DC kivipi? Hao ni wabunge viti maalum toka chadema labda wajitoe chadema wajiunge CCM labda watapata uteuzi lakini haiwezekani wote 19 wapate teuzi ubunge unawatosha Sana.
 
Back
Top Bottom