Halima Mdee na wenzake 18 wakata Rufaa CHADEMA

Wasikilizwe
Wakijutia kweli wasamehewa
Lakini ubunge wapewe wengine iwapo chama kitabadili msimamo na kuamua kupeleka wabunge bungeni
 
Huna lolote wewe wivu unakusumbua unaona wadada wenzio wamekula shavu umri unakwenda, maisha yanaendelea ,wewe umebaki kupiga majungu mitandaoni tena hata huoni haya mwanamke mzima kuwapiga Vita Wanawake wenzio
Koma wewe na ushike adabu yako.

Mbona unachamba hivi kama mwanamke. Mwanaume gani wewe? Wivu wa nini? Na usipende kushobokea watu utaolewa we kaka. Usiwe unawashwa washwa kama hujasemeshwa. Haya kwaheri
 
Njaa mbaya sana sana

Hao wameshapotea kisiasa na kujishushia heshima....
Hivi unavyomwambia mtu ametanguliza maslahi ya familia yake na tumbo lake unakuwa maana gani?wewe unayesema hivyo ushawahi kufanya jambo gani ambalo ni maslahi ya watu wengine tofauti na familia yako?

Hivi nyie mngekuwa mnajali wengine kuliko nyie wenyewe na familia zenu basi hata humu msingetumia utambulisho fake na tungewaona kwenye maandamano msingeogopa police kama ambavyo hao wakina Mdee wakichezea sana kichapo kutoka polisi.
 
Yani unakuta dume zima linawasema hao wanawake ambao wengine walishachezea sana vipigo vya polisi na wengine wakavunjwa na mikono,ila yeye hajapigwa hata kofi na polisi katika kudai haki ndio kwanza kajificha humu JF.
 
Back
Top Bottom