Halima Mdee na Esther Bulaya...Hivi Urafiki Gani Nyie?

Status
Not open for further replies.

Tuvue Gwanda

Member
Mar 15, 2013
41
3
Nimekuwa nikijiuliza sana maswali mengi kichwani kuhusu Viongozi wetu hawa Halima Mdee na Esther Bulaya. Hawa ni Wabunge ambao wapo pamoja sana. Walipokwenda JKT walikuwa pamoja, Dodoma wanakaa pamoja. Juzi nilichokiona pia kinanishangaza. Mimi nakaa Mbweni Mpiji, wamenunua ardhi pale Mbweni Mpiji viwanja vinavyo pakana. Address wanatumia Box namba moja, viwanja vinafuatana...jamani urafiki gani huo?
 
tuliza makeke wewe,unafuatilia nini!!!!unataka ujue nini?tuliza mapepe!!!
 
Sasa unashangazwa na nini ikiwa unajua ni marafiki.........?
 
Nimekuwa nikijiuliza sana maswali mengi kichwani kuhusu Viongozi wetu hawa Halima Mdee na Esther Bulaya. Hawa ni Wabunge ambao wapo pamoja sana. Walipokwenda JKT walikuwa pamoja, Dodoma wanakaa pamoja. Juzi nilichokiona pia kinanishangaza. Mimi nakaa Mbweni Mpiji, wamenunua ardhi pale Mbweni Mpiji viwanja vinavyo pakana. Address wanatumia Box namba moja, viwanja vinafuatana...jamani urafiki gani huo?

Una lako jambo! Hopeless!
 
Kama una dada ako mpeleke nae awe rafiki
 
Simple minds...! Huna ujualo kutwa kucha unafuatilia maisha ya watu!
Wapi imeandikwa kuwa ukiwa na rafiki hamuwezi kununua viwanja vinavyopakana?! Grow up kijana (nahisi wewe ni kati ya wale wanaume wambea wanaofuatilia maisha ya watu badala kuwajibika kupunguza dhiki zinazokusonga!). Nakuonea huruma!!
 
Nini maana ya urafiki? Ni kipi kati ya hivyo ulivyoandika hakiwezi fanywa na marafiki?
 
Mambo ya wanawake waachie wanawake...wanaume yetu madushelele
 
Nimekuwa nikijiuliza sana maswali mengi kichwani kuhusu Viongozi wetu hawa Halima Mdee na Esther Bulaya. Hawa ni Wabunge ambao wapo pamoja sana. Walipokwenda JKT walikuwa pamoja, Dodoma wanakaa pamoja. Juzi nilichokiona pia kinanishangaza. Mimi nakaa Mbweni Mpiji, wamenunua ardhi pale Mbweni Mpiji viwanja vinavyo pakana. Address wanatumia Box namba moja, viwanja vinafuatana...jamani urafiki gani huo?

Hii wewe inakuhusu nini? Kamasi kabisa!
 
mambo ya kawaida sana kwa close friends wa kike...mnakuwa karibu sana, mnatofautiana, mnapatana, maisha yanaendelea.Not a big deal!
 
je ukiwakuta wamelala pamoja, wanaoga pamoja si utazimia.!!!!
 
sasa cha ajabu ni nini hapo! unashangaa watu wawili kutumia box moja,iko siku utashangaa baba ako kuwa na mama ako....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom