Halima Mdee na Esther Bulaya...Hivi Urafiki Gani Nyie?

Status
Not open for further replies.
Shallow mind indeed! Sasa unashangazwa na nini? Duh siamini hii topic nimeikuta JF na sio kule GP.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Na we unataka uwe shost yao?!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
tuna vitu vingi Muhimu sana vya kujadili na venye tija kwa taifa letu
 
kp.jpg


HAWA HAPA SASA UNASEMAJE?

524363_10151402560413581_400931884_n.jpg

Hapo sasa

kigoma11.jpg
 
Nimekuwa nikijiuliza sana maswali mengi kichwani kuhusu Viongozi wetu hawa Halima Mdee na Esther Bulaya. Hawa ni Wabunge ambao wapo pamoja sana. Walipokwenda JKT walikuwa pamoja, Dodoma wanakaa pamoja. Juzi nilichokiona pia kinanishangaza. Mimi nakaa Mbweni Mpiji, wamenunua ardhi pale Mbweni Mpiji viwanja vinavyo pakana. Address wanatumia Box namba moja, viwanja vinafuatana...jamani urafiki gani huo?

Mbn wale jamaa wawili walikuwa jeshini monduli pamoja,
walilala bweni moja,
walimiki kampuni ya Richmond pamoja,
walikuwa wanalipwa 152 milioni pamoja,
shida iko wapi, hoji kwanza habari za hao ma-babu ndio urudi kwa wajukuu!
na hadi sasa wapo pamoja ingawa kinafiki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom