fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,379
- 11,523
Hoja zipo bungeniHebu pumzisha hilo fuvu lako maana hoja huna tena.
Hoja zipo bungeniHebu pumzisha hilo fuvu lako maana hoja huna tena.
Hospitali ya Milembe ilijengwa Dodoma si kwamba Nyerere hakuwa na akili.Mdee alisema jana kwenye press watakata rufaa kupinga CC ya Chadema kuwafukuza uanachama,kwa manti hiyo tayari wametambua kufukuzwa kwao ktk chama,kwa maana hiyo inamaanisha yakuwa wao kwa sasa SIO WANACHAMA WA CHADEMA hadi hapo rufaa yao itakapo kubaliwa/kataliwa.Swali langu hapo ndio linapokuja je ni kwa nini sasa Ndugai anapata kigugumizi cha kutimiza matakwa ya(sheria) kikatiba?
From 2015 kuna viongoz na wasomi wengi wanabehave kama matahira, no reasoning kabisa. Sijajua ni hiari yao au la.Ile siku bwana mdogo Ndugai anamuapisha Polepole lakini anaongelea mambo ya CHADEMA na kusema kuna "unyanyasaji wa kijinsia" akiwatumia akina Halima Mdee kama Mfano. Halima anafanya press yake na kusema Chadema hakuna mfumo dume kama inavyoelezwa, maana wao wamekuwa viongozi huko. Ndugai anajionaje?
Nadhani hujasikiliza kamati kuu ya CHADEMA ilichosema. Walisema haya mambo mawili yote yatashughulikiwa lakini kwa namna tofauti. Walieleza kwamba wameanza na hili la hawa 19 kutokana na umuhimu wake. Hilo la Aida linakuja, akae mkao wa kuitwa, na huyu asiwafuate wenzake waliogomea wito, yeye lake ni jepesi anaweza hata akaendelea na ubunge kama ataonesha nidhamu kwenye kamati kuu ya CHADEMA.Yule mbunge wa Nkasi mmemgwaya kwa sababu nae ameapa ila mara zote wala hamumzungumzii, kwisha habari yenu kifo Cha Mendeeeeeee
Muda ni mwalimu mzuriHawafukuzwi. Waliopanga mission wakajipange upya.
Mantiki yako si sahihi. Jibu la 2010, 2015 mbona tulishiriki bungeni lilikuja baada ya waandishi kutaka kujua; Chadema ina mpango wa kushiriki bungeni 2020 pamoja na kutoutambua ushindi wa CCM? na kushiriki si kuhalalisha ushindi huo?Jibu la 2010, 2015 kwamba kwanini walienda bungeni? Linajibika kirahisi kwamba documents ngazi zote zilikuwa wazi hata ziliweza kutumika mahakamani kupinga uchaguzi, Sasa 2020 wanalamika hawakupewa documents zozote kuanzia ngazi ya kata.
Kwenda kule kwani malalamiko haya yameanza leo..mbona tangu 1995.. mbona wamekuwa wanaenda bungeni..why and why not nowHili suala ni rahisi kama hivi.
1. Uchaguzi umefanya kwa magumashi sana. CCM wamevuruga uchaguzi sana. Wameiba kura sana.
2. Mbunge yeyote anayekubali kuapishwa kwenda bungeni, anakubaliana na wizi huu na ubakaji wa demokrasia uliotokea.
3. CHADEMA kama chama wamelalamikia ubakaji huu wa demokrasia.
4. Mbunge yeyote anayekubali kuapishwa na kuwa mbunge anapuuza malalamiko ya upinzani kuhusu ubakwaji wa demokrasia, na anaweka maslahi yake na ya kikundi chake juu ya maslahi ya nchi.
5. Wabunge 20 wa CHADEMA waliokubali kuapishwa wamejiunga katika kundi la watu walio saliti demokrasia kwa kuangalia point ya 4 hapo juu.
Ndugai ni umbwa kama umbwa zingine!!Ile siku bwana mdogo Ndugai anamuapisha Polepole lakini anaongelea mambo ya Chadema na kusema kuna "unyanyasaji wa kijinsia" akiwatumia akina Halima Mdee kama Mfano. Halima anafanya press yake na kusema Chadema hakuna mfumo dume kama inavyoelezwa, maana wao wamekuwa viongozi huko. Ndugai anajionaje?
Two wrongs do not make a right.Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA waliupinga, hata bungeni Magufuli alipoenda kuhutubia walitoka nje, mbona hawakususia bunge? Naomba jibu tafadhali
Two wrongs do not make a right.Kwenda kule kwani malalamiko haya yameanza leo..mbona tangu 1995.. mbona wamekuwa wanaenda bungeni..why and why not now
Ni sahihi kabisa,Mfumo dume tu unawasumbua chadema..hakuna kingine..na kuona kwamba wale wamama watafaidi
Asipotubutu atazeeka vibaya sanaNdugai ni umbwa kama umbwa zingine!!