halima mdee mbunge wetu tembelea barabara ya kutoka africana mpaka salasala

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
muheshimiwa halima mdee tunakuomba kutembelea barabara yetu ya africana mpaka salasala tunateseka sana na ukizingatia jana mvua ilinyesha sana tumeshindwa hata kupita shida tupu tufanyie mchakato mapema iweze kutengenezwa ili iwe aibu kwa mbunge aliyekutangulia mama mlaki kwa sababu ametuacha pabaya kweli
 
Back
Top Bottom