Halima Mdee kuwa macho sana na ujumbe uliouandika twitter

Mbona message ya kawaida kabiss hiyo.....

Vijibwa vingine binabweka huku.....
Wakamate wote tuone itakuwaje..... Opposition is no longer a political party,its a syndrome....
Ile ya malofa haikuwa kukosa maadili,ila hii
 
Ukiona watu wametoa tafsiri mioyoni mwao na kuhisi anayeongelewa ni fulani lazima kuna kitu hakiko sawa kwa anayeongelewa!
 
Naona huu ujumbe sijaandikiwa mimi, maana hata sielewi kitu hapo
 
Naona watu mmeanza kumlisha maneno mdomoni mwake. Hajataja jina la mtu yeyote. Jambo la mhimu ni mahakamani na sheria zake...legally hajamsema yeyeote. Mno taja ndio mnaweza kujiweka kwenye matatizo. Nawaza kwa kuandika tu
 
Inasikitisha mpaka leo hamna hata mwanaume aliyetelekeza mtoto kwake, ajiulize haya maswali pia.
 
Nadhani ni kutofautiana mtazamo tu. Yeye hajataja mtu. Na kama aliyetajwa wewe unamuona mtu, hujakatazwa, yeye anamuona kijibwa. Kila mmoja ana macho yke na jinsi ya kuchukulia vitu. Kutoleana mapovu JF ni kazi bure wkt hicho ki mbwa hatukijui. Tunaguess tu

Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 743225
Nimesoma tweet yako kuhusu "kajibwa" kwa hakika umejilipua ila nakushauri tu uwe macho sana maana ujumbe huo sijui utapokelewaje na wahusika.

Nimegundua kwa hakika watu hawarudi nyuma hata kidogo.

Mtu mwenye uthubutu huandika bila kificho kwann ujifiche kama sio unafki
Huyo ni muoga tu hana jipya anajificha ili kupata defence mechanism
 
View attachment 743225
Nimesoma tweet yako kuhusu "kajibwa" kwa hakika umejilipua ila nakushauri tu uwe macho sana maana ujumbe huo sijui utapokelewaje na wahusika.

Nimegundua kwa hakika watu hawarudi nyuma hata kidogo.


Wewe ndio hako Kajibwa? Ujue Sheria Na Hisia Vitu Viwili Tofauti! Je Kama Haima Mdee alikuwa Akijifunza Kutunga Nyimbo za Kurap au Mashairi. Anayejichomeka Hapo Kama Kajibwa na Mfuga Kajibwa, Hiyo Ni Shida yake! Yes Hata Mimi Nina Kawimbo Kangu.

Hermaphrodite Mmoja mwenye visa na Makeke
Habari zake Vioja, Nazileta kweli Mzitake
Haishi kamwe kuvuja, sawa na Wanawake
Hakya mama Ntakuja, Nimtwange na Mateke

Itaendelea!
 
Back
Top Bottom